jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,783
ndiyo hutaki kaa pembeni
aisee miguu imelegea....loading error......
ndiyo hutaki kaa pembeni
Tuunganishe nguvu kama vip tukutane Royal Kibadamo au Mick's Hotel Ubungo tuchukue Room tupige utafiti.
naanza utafiti weekend hii
Mi bado sijaoa; mke wa mtu nikimpata au hata kibinti kidogo vile vile sawa!
Wanasema eti guest houses mara nyingi hujaa wake za watu wakiambatana na vijana wadogo wadogo, ati kulikoni waume za watu wakiambatana na mabinti wadogo wadogo.
Wana JF hebu tuambizane ipi statement ni kweli kutokana na mtazamo wako. Cheers!
Hamna shida mkuu. We uje na ya mishikaki...
Chuka guest za wilaya ya kinondoni mimi nachukua za temeke
aisee miguu imelegea....loading error......
unahitaji kukazwa .....usisahau condom mkuu
loading........................
loading error.........................
mimi nitakuja na hela ya ugali..
Twilumba atakuja na hela ya nyama(mboga)....
wewe uje na hela ya bia......
chakii aje na hela mizinga na daftari ya kuandika idadi.....
BADILI TABIA uje na fimbo na vipeperushi vya michepuko ni nouma......
jembe afrika njoo na condom kwa wale tunahisi hawataweza msikiliza badili tabia
Mwambie abebe na tube 2 za KY jely... just in case
Please wait.......
unahitaji kukazwa .....usisahau condom mkuu
kwani kwa wake za watu na huko wanatumia... kama ni sawa jembe afrika njoo na tube kumi za KY
naanza utafiti weekend hii
utahimili mikikimikiki?...loading error....
Nitapitia mkuyati pia...