Guest House

Dah!!Kwa hilo jina hapo nadhani hasi na chanya hawaingii bila cheti cha ndoa.
 
Wanaingia wateule tu hapo.. Good name at a wrong place..
 
kuna guest pale chalinze imeandikwa MTAGALAGALA GUEST HOUSE.
 
Kwetu kuna guest imeandikwa "TUCHAPANE"
 
Haya makubwa! Lakini si ajabu kwa kuwa hizo ni nyumba za kulala wageni kwa bahati mbaya sana siku hizi zimegeuka kuwa za kulala wenyeji.
 
kuna moja inaitwa mbinguni guest house na peponi pale uyole
 
hilo jina haliendani kabisaaa na hiyo biashara.
 
Hakuna ambaye ataweza sema kwamba injili haikumfikia, Yesu alikuja kuokoa waliopotea kwa hiyo hayo maneno lazima yatamuachia mtu alama ya kwanini yale maneno pale na maswali mengine mengi sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…