Guest house inapangishwa

Guest house inapangishwa

Hiyo guest imejificha ficha au??
Ipo mtaani gari inafika hadi kwenye iyo guest ila uswahilini na imejificha na uchochoro kwa nyuma inajulikana sana kutoka stand ya boda boda n bajaj hadi hapo elfu moja tu.
 
Sema hiyo guest ni ya short time,sio guest za wenyeji.!
Ina Tv,weka picha na jina la guest house?!))
 
Back
Top Bottom