Guest house inapangishwa

Guest house inapangishwa

Haujaongeza chapaa hapo mkuu? Nadhani hii laki mbili iliyozidi hapo kwenye 1.2M itakuwa unaitia mfuko wa shati[emoji5] [emoji5]
 
Haujaongeza chapaa hapo mkuu? Nadhani hii laki mbili iliyozidi hapo kwenye 1.2M itakuwa unaitia mfuko wa shati[emoji5] [emoji5]

Hahah hapana mkuu mwanzoni alikuwa anapangisha 1.5 million lakini nikamwambia apunguze mkuu. Ila guest ina operate vizuri na ya muda mrefu tokea 1989 ila amepata tatizo na inatakiwa kuwa solved 25th mwezi huu.

Na hiyo bei unapata free kwa mwaka kama leseni,kodi zote zitakuwa zimelipiwa na ukitaka kubadilisha umiliki kwenye leseni ni wewe tu mteja na ukilipa leo unaanza biashara moja kwa moja na unaweza kuangalia mapato yanavyo trend ila to be honest geust zile za wenyeji kuliko wageni nafikili umenielewa mkuu
 
Ndugu yangu amekwama anapangisha g/house kwa 1.2 milion kwa mwezi anataka kodi ya miaka miwili atatue matatizo ila gest ipo uswahilini

Aliye serious awasiliane nae 0767448306
Duh,
Yaani hapo Katavi Guest zimeshafika bei hiyo?
 
Hahah hapana mkuu mwanzoni alikuwa anapangisha 1.5 million lakini nikamwambia apunguze mkuu. Ila guest ina operate vizuri na ya muda mrefu tokea 1989 ila amepata tatizo na inatakiwa kuwa solved 25th mwezi huu.

Na hiyo bei unapata free kwa mwaka kama leseni,kodi zote zitakuwa zimelipiwa na ukitaka kubadilisha umiliki kwenye leseni ni wewe tu mteja na ukilipa leo unaanza biashara moja kwa moja na unaweza kuangalia mapato yanavyo trend ila to be honest geust zile za wenyeji kuliko wageni nafikili umenielewa mkuu
Yap yap, all the best jombaa
 
28.8mil.......??? duh

Yap!! Kwa jinsi ya movement ya pale si unajua guest house za uswahilini especially kule temeke watu awalali hahaha.

Kwasababu yeye amekosa amekosa sana kwa siku analaza lakini moja,sio kwamba namtangazia biashara ni ukweli mtupu.
 
Tshs 1,2000,000/30days
= Tshs 40,000/day

Yes ata 1 million anachukua kwa mwezi ila anahitaji kodi ya miaka miwili ili aweze kutatua matatizo yake.

Na pale mapato kwa siku analaza lakini moja haipungui, umeme anatumia 80000 kwa mwezi, kisima kachimba na room zote ni self contained ila guest ya uswahilini mkuu.
 
yap ni hesabu ndogo ila angepunguza idadi ya miezi. angalau kwa mwaka mmoja.
najua biashara inalipa sana hiyo

Tatizo atoweza ku solve maana tatizo lake linatakiwa limeisha kwa tshs 20million na anatakiwa kulipa mwezi huu wa tano 25th na pia kwa maelezo yake maana kwa kipindi hiki cha mwezi wa ramadhan biashara inasua sua kwaiyo anataka ampigie rangi maana ikipita ramadhani biashara inakuwa bize sana kwaiyo awezi kupata muda wa kupiga rangi. Biashara ipo existed 27yrs now mkuu
 
Back
Top Bottom