Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,263
- 17,140
du jamaa anafanana na mama yake huyu khaaaa.
watu hmu jf wanataka afanane na baba yake.........ajabu na yeye hajitetei "nimemfanania mama miye"
mbona hajatajwa kwenye majina ya watoto?
Kunani tenaa??