Gud 9t Ofa kwa wa dada

Gud 9t Ofa kwa wa dada

Tatizo sim carss zenyewe tulinunua enzi zile minimum unapata $5. Scratch cards zilikuwa haziuzwi kwa madafu. Sasa leo nikiiweka vocha ya buku inaweza kuharibika aisee. Wape kina amu
kununua? Hapa inatoka bure, imeongezeka imekuwa 1000/=
 
Last edited by a moderator:
Tatizo sim carss zenyewe tulinunua enzi zile minimum unapata $5. Scratch cards zilikuwa haziuzwi kwa madafu. Sasa leo nikiiweka vocha ya buku inaweza kuharibika aisee. Wape kina amu

amu mwenyewe yuko wapi?
 
Last edited by a moderator:
mheshimiwa Donn, naomba uwaulize hao madada wanao jishaua hivi, ni nani hajawahi kuweka vocha ya jero kwenye simu yake? halafu ndo tuendelee. mia
 
hawana jipya hawa, wanaona leta mashauzi tu
 
Last edited by a moderator:
Mie sijawahi. Unataka kubisha?

Afu ndo nyie mnawapa jero wadada wa watu na kuanza kuwasimanga kuwa wanaomba omba vocha na hawapigi simu?
mheshimiwa Donn, naomba uwaulize hao madada wanao jishaua hivi, ni nani hajawahi kuweka vocha ya jero kwenye simu yake? halafu ndo tuendelee. mia
 
Last edited by a moderator:
Mie sijawahi. Unataka kubisha?

Afu ndo nyie mnawapa jero wadada wa watu na kuanza kuwasimanga kuwa wanaomba omba vocha na hawapigi simu?

wacha maneno mingi mdada, mi najua vocha zako huwa zina masifuri ma 4
 
mheshimiwa Donn, naomba uwaulize hao madada wanao jishaua hivi, ni nani hajawahi kuweka vocha ya jero kwenye simu yake? halafu ndo tuendelee. mia

Nikiweka 500 napata sms......vocha hii imekwisha tumika.....labda nikiweka 5000.......kwa mbaaaaaali ndio inakubali.......anaza kwescheni........?
 
Last edited by a moderator:
wacha maneno mingi mdada, mi najua vocha zako huwa zina masifuri ma 4
Swadakta! Kimsingi mshindi wa hii zawadi ni mimi. Naomba ujiongeze basi iwe ya hadhi yangu tafadhali. Unaweza kulipia post paid bill yangu ya mwezi ujao.....
 
what...? But haina shida, hata na mimi natafuta mtu wa kunipa mtoto baada ya miezi 9... Bili ni how much?
 
Nikiweka 500 napata sms......vocha hii imekwisha tumika.....labda nikiweka 5000.......kwa mbaaaaaali ndio inakubali.......anaza kwescheni........?

samahani eti ile mashine ambayo mtu akidanganya inamchapa inauzwa wapi?
 
Back
Top Bottom