Gud 9t Ofa kwa wa dada

Gud 9t Ofa kwa wa dada

Tatizo sim carss zenyewe tulinunua enzi zile minimum unapata $5. Scratch cards zilikuwa haziuzwi kwa madafu. Sasa leo nikiiweka vocha ya buku inaweza kuharibika aisee. Wape kina amu

ha ha wewe simu yangu ikiingia jero inabust
 
Last edited by a moderator:
Isidingo session 3333 inaendelea......
Halafu we amu wewe.......
 
Last edited by a moderator:
Isidingo session 3333 inaendelea......
Halafu we amu wewe.......

tuliongea uzuri sana bt ghafla ukakata mawasiliano.
eti kwa nini??hata kukupigia naona soo loo do the needdul bwana
njoo usome talaka ya KakaKiiza
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom