Gud 9t Ofa kwa wa dada

Gud 9t Ofa kwa wa dada

JosephElly

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2012
Posts
2,432
Reaction score
1,035
Mdada wa kwanza kucomment hapa anajipatia vocha ya tigo 1000/= fastaaaa.... Kazi kwenu... ATM Imeanza kutoa chenji
 
500 hainitoshi hata kwa kubeep......we baki nayo tu...,,
 
we unachagua zawadi? Hata TSH 100 unatakiwa sema ahsante. Kumbe we ndo wale wale wa ATM

Sasa kumbe........natumia IPhone 5 uniwekee 500......unataka apple wanifungie matumizi ya simu yao....?
 
Hilo nalo neno!
Hivi kweli atm Donn unaweza kununua scratch card ya tzs 500? Ama unaongelea faranga?
Sasa kumbe........natumia IPhone 5 uniwekee 500......unataka apple wanifungie matumizi ya simu yao....?
 
Last edited by a moderator:
Hilo nalo neno!
Hivi kweli atm Donn unaweza kununua scratch card ya tzs 500? Ama unaongelea faranga?

kununua? Hapa inatoka bure, imeongezeka imekuwa 1000/=
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom