Bidhaa yenye guarantee kama ikiharibika ndani ya muda uliopewa guarantee yake basi utabadilishiwa na kupewa bidhaa nyingine kama hiyo lakini yenye warrant ikiharibika ndani ya huo muda wenye warrant basi itafanyiwa matengenezo bure na huyo aliyekuuzia...ukinunua tv yenye guarantee ya mwaka mmoja ina maana ikiharibika ndani ya hicho kipindi basi utairudisha na utapewa nyingine kama hiyo na muuzaji lakini ikiwa na warrant basi muuzaji atakutengenezea bure.