GSM aka Home Shopping Center (ya bandarini msiyalete kwenye football)

Venus Star

JF-Expert Member
Dec 6, 2018
19,664
59,735
Miaka ya 2010 hadi 2015 Home Shopping center walikuwa wao ndio TPA. Huwezi kuagiza bidhaa nje kupitia bandarini kama hawajakuruhusu wao. Huu uhuni wa kishamba wanataka kuuleta kwenye football. Wanachotaka kuiweka mfukoni mwao TFF.

Pesa zao wazitumie watuachie football yetu. Wanaleta siasa za kipumbavu kwenye football. Wameshindwa kujenga team yao. Sasa wanapambana kwa nguvu, bila ethics kwakuwa Kikwete yumo ndani.

GSM jengeni team yenu acheni porojo. Mpira ni mchezo wa wazi, mpira ni burudani, mpira ni urafiki.

Jengeni biashara yenu acheni kuparamia vitu. Football ipo na kanuni na taratibu zake.
 
Miaka ya 2010 hadi 2015 Home Shopping center walikuwa wao ndio TPA. Huwezi kuagiza bidhaa nje kupitia bandarini kama hawajakuruhusu wao. Huu uhuni wa kishamba wanataka kuuleta kwenye football. Wanachotaka kuiweka mfukoni mwao TFF...
Ngoja tukalete mauza uza ya hovyo ya MeTL .Ujinga mwingi ndiyo maana wajanja kuliko yeye walimteka

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Miaka ya 2010 hadi 2015 Home Shopping center walikuwa wao ndio TPA. Huwezi kuagiza bidhaa nje kupitia bandarini kama hawajakuruhusu wao. Huu uhuni wa kishamba wanataka kuuleta kwenye football. Wanachotaka kuiweka mfukoni mwao TFF...
Mwambie wahindi Dewji na Babra waunde timu yao.Jiulize na upate majibu mwenyewe kwa nini Mo alitekwa na kudharilishwa kwa mambo yake ya kitapeli na ya hovyo hovyo.Akiendelea na ujinga wake wajanja kuliko yeye watamteka tena

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Mwambie wahindi Dewji na Babra waunde timu yao.Jiulize na upate majibu mwenyewe kwa nini Mo alitekwa na kudharilishwa kwa mambo yake ya kitapeli na ya hovyo hovyo.Akiendelea na ujinga wake wajanja kuliko yeye watamteka tena

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Mbona unahaha sana. Kulikoni. Comments zimepangana.
GSM = Home Shopping center
 
Miaka ya 2010 hadi 2015 Home Shopping center walikuwa wao ndio TPA. Huwezi kuagiza bidhaa nje kupitia bandarini kama hawajakuruhusu wao. Huu uhuni wa kishamba wanataka kuuleta kwenye football. Wanachotaka kuiweka mfukoni mwao TFF.

Pesa zao wazitumie watuachie football yetu. Wanaleta siasa za kipumbavu kwenye football. Wameshindwa kujenga team yao. Sasa wanapambana kwa nguvu, bila ethics kwakuwa Kikwete yumo ndani.

GSM jengeni team yenu acheni porojo. Mpira ni mchezo wa wazi, mpira ni burudani, mpira ni urafiki.

Jengeni biashara yenu acheni kuparamia vitu. Football ipo na kanuni na taratibu zake.
Hawa mafisadi wanapata nguvu kwa vile Mzee wa Saigon ndiye kashikilia remote.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mbona unahaha sana. Kulikoni. Comments zimepangana.
GSM = Home Shopping center
Kwa hiyo Mo Dewji Azam, Manji, Mengi Salum Awadh, Patel wote hawa walikuwa hawawezi kuagiza mzigo nje ya nchi bila ridhaa ya Kubwa lao GSM? Hizi akili ni mbuzi tu anaweza kuwa nazo
 
Siwezi nikaongea na wewe kibaraka wa GSM aka waarabu.
Ushahidi wa ukibaraka wako huu hapa.
Screenshot_20211208-123736.png
Screenshot_20211208-123703.png
Screenshot_20211208-123636.png
 
Sasa hapo ukibaraka uko wapi? Mbona wewe hujaonesha umafia wa GSM huko bandarini zaidi ya porojo. Kama una ushahidi weka hapa. Kwanza unatumia jina feki, weka ushahidi hapa huo uovu wa GSM ambao unahofia wasije kuleta kwenye mpira.
Huwa siongei na vibaraka. Ukiacha ukibaraka uje tuongee ukiwa na akili timamu. Sasa hivi unaramba matako ya haji manara.
 
Wewe ndo mke wa M0? Acha chuki za kifala. Huna hoja Kaa kwa kutulia kama Kuna ufisadi, ninyi zombies huwa mnasema magufuli kibokonya mafisadi, si angedili nao?

Acha kupambana na mwenye pesa. Kama wewe inakuuma mwambie nae Mo adhamini ligi TFF Inahitaji watu wawwke pesa. Wewe u adhani timu ndogo zipate wapi pesa za kuendeshea timu? Mshawishi Mo aweke pesa sisi Yanga tutamweka hata kwenye bukta bila wasiwasi
 
Hawa mafisadi wanapata nguvu kwa vile Mzee wa Saigon ndiye kashikilia remote.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Kwani Magufuli kiboko ya mafisadi hakuwepo wakati GSM inatamalaki? Sasa hivi GSM ndie king of Tanzania -zambia -Congo road. Ndiye mzalishaji bora kabisa wa bidhaa hapa Tanzania. Achana na Mo anaesubiri Bakhresa atoe product Kisha yeye akopi.
 
Wewe ndo mke wa M0? Acha chuki za kifala. Huna hoja Kaa kwa kutulia kama Kuna ufisadi, ninyi zombies huwa mnasema magufuli kibokonya mafisadi, si angedili nao?

Acha kupambana na mwenye pesa. Kama wewe inakuuma mwambie nae Mo adhamini ligi TFF Inahitaji watu wawwke pesa. Wewe u adhani timu ndogo zipate wapi pesa za kuendeshea timu? Mshawishi Mo aweke pesa sisi Yanga tutamweka hata kwenye bukta bila wasiwasi
Wewe ni ubwabwa, unaliwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom