TFF wawataja GSM kwenye post ya twitter huku wakiwadharau NBC

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
2,397
2,000
Huu mkataba unaosababisha hadi CEO wa Simba kufukuzwa uwanjani na familia yake, huu mkataba unaolazimisha Simba avae nembo begani kwa milion 5 kwa mwezi ilihali anao ATCL na AFricarriers waliotoa buses 4 na hawako hata kwenye jezi ni wa ajabu sana.

Mbaya zaidi ni kit supplier wa li team libovu anataka akae begani kwa milioni 60 kwa mwaka ilihali kit supplier wa Simba, Vunja bei anatoa bilioni moja, ni akili za wapi hizi, VITAMBI TAYARI VIPO HAMRIDHIKI TU JAMANI?

Ukiataka uamini kuna mababa yenye vitambi vyao yanaficha dhambi zao angalia vizuri hii TAG huko twitter, huyo anayeitwa mdhamini mkuu na yeye ajiongeze sasa aongee KWA HERUFI KUBWA NA WAHUSIKA ILI AWEZE KUPIGANIWA KWA HERUFI KUBWA.

ETI HIRIKISHO LA WATU MAKINI HALIJUI HATA TWITTER HANDLE YA TITTLE SPONSOR WAKE HUKU GSM AKIWA AMETANGULIZWA KUWA TAGGED KABLA YA NBC, WHAT A SHAME

ILA HOME SHOPPING CENTRE TUNAKUMBUKA VURUGU ZENU ZA MIAKA ILE BANDARINI AMA KWA HAKIKA MMEAMUA KUVURUGA SOKA MAANA TEAM LENU LIKIVUKA MIPAKA ROUND YA KWANZA CHALIIII

account sahihi ya NB huko twitter ni NBCTanzania achana na hiyo ya nbc-tanzania waliyo tag watu wasio na uweledi

Screen Shot 2021-12-11 at 23.45.43.png
 

Akwota

JF-Expert Member
Dec 15, 2016
771
1,000
Huu mkataba unaosababisha hadi CEO wa Simba kufukuzwa uwanjani na familia yake, huu mkataba unaolazimisha Simba avae nembo begani kwa milion 5 kwa mwezi ilihali anao ATCL na AFricarriers waliotoa buses 4 na hawako hata kwenye jezi ni wa ajabu sana...
Nani alimfukuza?,"Watoto hawaruhusiwi",mbona mnalazimisha vitu vya ajabuajabu nyie watu,mna matatizo gan nyie?!?!? tumieni hiyo 10% ya ubongo wenu vzr,mnakuwa kama bata ambaye hapishi gari barabarani,

yule CEO wa Simba yupo kishari sana kwenye vitu ambavyo vipo wazi kiuweledi tiketi kaishikilia na kaisoma kabisa na alijua wazi kuwa imeandikwa kuwa watoto hawaruhusiwi yeye kawabeba kimabavu akaja nao huoni kwamba ni ukaidi huo? kisa na mkasa ye ni" ke" then after anaanza kutafuta sympathy kwa Watanzania.

Mambo mengine muweke ushabiki wa timu zenu pembeni sheria ifuatwe,CEO wako anajiona yeye ni mwamba sana mara tu baada ya kupambana na kwenye mabango ya mdhamini mwenza kutolewa uwanjani akaona aendelee kupambana kwa kuingiza familia yake uwanjani ilihali akijua kabisa kuwa ni kuvunja sheria.
 

Vishu Mtata

JF-Expert Member
Dec 15, 2019
3,108
2,000
Makolo mnahangaika sana na huu udhamini aisee.
Mkubali tu kua miamba imetoa kitita kudhamini ligi mnayocheza, ligi iliyowafanya muwe wa kimataifa, hawa maboss ndio wameweka mzigo wao hapo.
Mkubali mkatae GSM ndo ashadhamini ligi sasa.
 

Vishu Mtata

JF-Expert Member
Dec 15, 2019
3,108
2,000
Na huyo barbra anawaingiza mkenge kwakua anajua mko na temper ya juu akiwagusa tu haoo mnawaka.

Waliokataliwa pale ni wale watoto na hairuhusiwi watoto kukaa kule vvip na yeye anajua hilo. Na ticket alizoenda nazo ni za watu wengine sio maalum kwa ajili ya wale watoto wake.

Kenyewe kakazila kakasepa ili kuwapa moto manyumbu waruke na huo msala na kweli dili limetiki makolo wanaeuka nao tu.
 

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
2,397
2,000
Makolo mnahangaika sana na huu udhamini aisee.
Mkubali tu kua miamba imetoa kitita kudhamini ligi mnayocheza, ligi iliyowafanya muwe wa kimataifa, hawa maboss ndio wameweka mzigo wao hapo.
Mkubali mkatae GSM ndo ashadhamini ligi sasa.
kitita ndico milioni 60 kwa mwaka? yaani vunja bei anayetoa ,milioni 1000 kwa mwaka tuitaje ? LIKITITA SIYO? kwa taarifa yake afri carriers katoa mabasi 4 kwa simba anakaa kwenye jezi za simba queens na team za vijana halafu yanatokea matapeli yanataka simba wavae nembo yake begani kwa milions 5 kwa mwez, wajinga nyie kwelikweli..hiyo billlions 2 inayowatoa roho kina karia fred vunja bei kaiweka pale simba
 

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
2,397
2,000
Hata sijajua shida ni nini hapo..
kwa akili yako unaona HAPO KARIA NA WEHU WENZAKE WA TFF WAME TAG ACCOUNT SAHIHI YA NBC? HUONI HAONA U BLUE? YAANI MAIN SPONSOR TFF HAWAJUI HATA TWITTER HANDLE YAKE? HALAFU HOME SHOPPING CENTRE WANAKUWA TAGGED KABLA YA MDHAMINI MKUU?

ANGALIA HII COMMENT HAPA CHINI NDIPO UJUE ACCOUNT SAHIHI YA TWITTTER YA NBC ULINGANISHE NA WAZEE WA VITAMBI WALI CHO TAG HAPO JUU..HANdLE SAHIHI NI NBCTanzania siyo hicho licho tagiwa na matapeli ya karume
Screen Shot 2021-12-12 at 14.46.49.png
 

Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
16,270
2,000
Huu mkataba unaosababisha hadi CEO wa Simba kufukuzwa uwanjani na familia yake, huu mkataba unaolazimisha Simba avae nembo begani kwa milion 5 kwa mwezi ilihali anao ATCL na AFricarriers waliotoa buses 4 na hawako hata kwenye jezi ni wa ajabu sana...
Jifunzeni kuleta vitu vya maana tuwaelewe basi. Maana kwa jinsi hii mnatulazimisha tuwaone hamnazo tu. Mkataba wa GSM na kuzuiwa kwa Barbra vina uhusiano gani na hiyo tweet ya msimamo wa ligi?
 

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
2,397
2,000
Jifunzeni kuleta vitu vya maana tuwaelewe basi. Maana kwa jinsi hii mnatulazimisha tuwaone hamnazo tu. Mkataba wa GSM na kuzuiwa kwa Barbra vina uhusiano gani na hiyo tweet ya msimamo wa ligi?
mtarukaruka sana kama maharage yasiyoiva TFF HAWAJUI ACCOUNT YA TWITTER YA MDHAMINI MKUU WA LIGI ? hiyo nbc-tanzania wao wameitoa wapi wakati account halisi ni NBCTanzania?

kama NBC hawkuongea na hawa majamaa kwa herufi kubwa kama matapeli yale yalivyofanya watendelewa kutagiwa kwa ma parody account hadi wakome tena wanawekwa wa mwisho kabisa eti tittle sponsors.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom