Grycelin ya Zambia na maajabu yake

Wow hongera sipati picha ulivo nga'ra, yan Mimi nimekuwa na ngozi Kama ya mtotoni n nimepata mng'ao Kama WA mtu mwenye PESA, najuta nilikuwa wapi kuifahamu Mapema na. nimeng'ara .
una maanisha hii au?
Screenshot_20180816-130512.jpg
 
Waungwana nawasalim wote, nikiwa dada ninaependa urembo, nimeona si vyema kuacha kuwajuza hili wapenda urembo wenzangu.

ni kuhusu grycelin Ya Zambia, kiukweli ninawashauri wote mnaopenda ngozi zenu ziwe na mng'ao amazing namaanisha kung,'as bila kujichubua, basi niwashaur mtumie Aina hii kutoka Zambia.

kiukweli nineamini wadada tunatumia gharama nyingi nyingi ili kupata mafuta au lotion za kupendezesha ngozi zetu especially Wale wasiopenda kujichubua Kama Mimi, but unaweza ukatumia kitu kwa bei rahisi na ukapendeza mpaka kila mtu akakuuliza unapaka nn.

naomba nitoe ushuhuda wa hii kitu, toka nimeanza kutumia hii ni wiki ya Tatu but ngozi yangu ya mwili mzima imekua na rangi moja, yaani Nimeng'aa hadi nimejipenda mwenyewe, yaan watu walokuwa wanaifahamu ngozi yangu wananiuliz ninachotuMia nikiwaambia hawaamini.

before nilikuwa napaka mwilini kasoro usoni nikaanza kuona ngozi ya mwili wangu imekuwa laini na nyororo nikasema nijaribu na usoni, but nilikuwa na mashaka coz Mimi Nina ngozi ya mafuta, hivo nikipaka usoni. Naweza tokea chunusi, chaajabu nimekuwa mrembo hadi najiogopa yaan nimeacha kupaka lotion napaka tu hii grycelin mwili mzima ,yaan ngoz inakuwa Kama ya mtoto mdogo.

poleni kwa mgazeti Kama wote, nimeona si vibaya nikishare na wapenda urembo wwnzangu. Zinaoatikana maduka ya vifaa vya watoto au pharmacy Mara nyingi. Polen kwa kuwachosha,.
tupe mrejesho
 
Back
Top Bottom