Nimepunguza bei. Kwa Sasa machine zote mbili nitazitoa kwa Shilingi 700000Mkuu kama hutajali punguza bei ufanye biashara hata kama wewe ulinunua ghali kuliko bei ya soko. Sijui kuhusu hiyo welding machine lakini ukinipa 350-380k nakupatia Makita Grinder kama hiyo hiyo mpya kabisa. Na ni makita org sio makita mt.
Bado hujafika 500kKaribuni