Greetings

Greetings

measkron mambo vipi,
kweli msimu wa mvua huu unaleta shida
ila bongo ni joto kwa kwenda mbele.

Mambo poa Mamndenyi huku nako jua na joto, kukata miti kumeharibu sana mazingira na hii gesi sijui itatusaidia tuache kukata miti kwa ajili ya kuni, Uuuwiii
 
Last edited by a moderator:
measkron hatuna tena utamaduni wa kupanda miti,
kwa bei ya gesi itakuwa ngumu sie wa kima cha chini kuinunua
vinginevyo bei iwe chini
tutakomaa na mkaa na kuni kwa kwenda mbele.

Mambo poa Mamndenyi huku nako jua na joto, kukata miti kumeharibu sana mazingira na hii gesi sijui itatusaidia tuache kukata miti kwa ajili ya kuni, Uuuwiii
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom