We njoo tu, ...
Uchungu wa nini?
Hapana, sina uchungu!
Si mzalendoKwanini?
Kifo ni kifo tu kuna wengine wamekufa kwa maralia tu hata hawajaandamana.We njoo tu, haina majotro, Wazazi wako natumaini wamekukumbuka, ...
Sijui, siwezi kujilazimisha!
Huku aliyetandikwa risasi 38 akiwa hai !Kifo ni kifo tu kuna wengine wamekufa kwa maralia tu hata hawajaandamana.
Kifo ni kifo tu kuna wengine wamekufa kwa maralia tu hata hawajaandamana.
Karibu tena nyumbani. Uliondoka ndani ya machela leo unarudi unatembea mwenyewe. Hakika Mungu ni mwema.
Kuwa mwangalifu sana unapomuhusisha Mungu, Mungu huadhibu pia!
Boarding Ethiopian Airlines flight ET 805 from Bole International Airport Addis Ababa to Dar Julius Kambarage Nyerere International Airport now. Tukutane Dar in slightly over three hours. - Tundu A. Lissu
View attachment 1518231