Woman gives birth over the Atlantic during a flight from Africa to the US

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
1644006481474.png

Talk about a memorable arrival into the world — or, in this case, above the world.

This past weekend, a woman went into labour on a flight that had departed the West African nation of Ghana to the United States.

This midflight labour happened on United Airlines Flight 997, which departed from Kotoka International Airport in Accra, the capital of Ghana, and was bound for Washington Dulles International Airport on an 11-hour flight.

They had been in the air for roughly six hours when the woman went into labour, United Airlines told CNN Travel in an email on Monday evening.

Luckily for the mother, a physician, a nurse and United flight attendant who is a former nurse were onboard the Boeing 787-8 aircraft ready to assist.

"Our crew was amazing," United wrote in a statement to CNN Travel. "They acted quickly, assisted the medical professionals onboard and ensured everyone stayed safe throughout the flight.

"And we were especially thrilled to see the plane land with one extra, especially beautiful, customer onboard."

Airport paramedics met the flight upon its arrival in the United States at 5:41 a.m. Sunday, 30 January.

Tiani Warren of Los Angeles was on United Flight 997. She was returning from a three-week trip to Ghana, where she visited the Genesis Shishidzee school in Jamestown, an older neighborhood in Accra, to help the children there.

She told CNN Travel she was in business class, and the woman who gave birth was in the row behind her, though they were separated by the emergency exits. That meant that the labouring woman had space in front of her seat to lie down.

"I was asleep. ... I thought I was dreaming when I heard moaning. I got out of my seat, and I saw someone on the ground. A nurse was over her," Warren said.

It took Warren a minute to fully realise what was happening.

When she did, "I thought, 'Oh God, I know she is not about to give birth on this plane. I was literally counting her contractions — seven to 10 minutes apart. I was, like, freaking out. Oh, my God."

"Then the doctor started working on her. They brought out an IV to put in her," Warren said. "She was moaning and yelling, but half the people on the plane didn't know what was going on."

Adding to the tension: The plane encountered turbulence during parts of the flight, Warren said.

"I just started praying over her out loud as she was starting to push. She was crying. Before you knew it, the baby came out.
 
Taaluma zote zina umuhimu ila udaktari na nurse zinapewa heshima kila sehemu.

Mama mjamzito kapata shida kwenye ndege. Rubani katangaza fasta abiria ambae ni dokta ama nurse asimame aje atoe msaada fasta. Watu wakaenda na kumzalisha fasta.

Wakati wa vita ya rwanda wakimbizi wengi walikuja ngara benako. Kambi ya wakimbizi ilivyoundwa tu likatoka tangazo wakimbizi ambao ni ma daktari ama ma nurse wakae pembeni fasta. Wakimbizi wale wakapewa majukumu ya taaluma zao na kibao wakalowea Tanzania kwa kupata ajira nzuri. Mmojawapo ni jirani yangu ambaye ni mnufaika na taaluma ya udaktari
 
COVID-19 ilivyolipuka wale wakimbizi wa Syria waliokua wamepeleka maombi waliitwa madaktari na manesi wote waliambiwa waanze kazi mahospitali kuokoa maisha. Baada ya hapo wameingia kwenye system.
 
Taaluma zote zina umuhimu ila udaktari na nurse zinapewa heshima kila sehemu.

Mama mjamzito kapata shida kwenye ndege. Rubani katangaza fasta abiria ambae ni dokta ama nurse asimame aje atoe msaada fasta. Watu wakaenda na kumzalisha fasta.

Wakati wa vita ya rwanda wakimbizi wengi walikuja ngara benako. Kambi ya wakimbizi ilivyoundwa tu likatoka tangazo wakimbizi ambao ni ma daktari ama ma nurse wakae pembeni fasta. Wakimbizi wale wakapewa majukumu ya taaluma zao na kibao wakalowea Tanzania kwa kupata ajira nzuri. Mmojawapo ni jirani yangu ambaye ni mnufaika na taaluma ya udaktari
Nina watoto mapacha wakike ,natamani mmoja wao awe daktari wa kina mama,
Naomba mungu anipe uhai na nguvu yakutimiza ahadi yangu
 
Nina watoto mapacha wakike ,natamani mmoja wao awe daktari wa kina mama,
Naomba mungu anipe uhai na nguvu yakutimiza ahadi yangu

Hongera kwa uzazi pia pole wewe utakuwa mzazi (0-brain) samahami kwa kutumia lugha hyo.

Mpe mwanao elimu inayostahili kupambana na dunia ya sasahv Wala usimlazimishe mwanao asome kitu flan sababu moyo wako utakuwa unafuraha, au asome kitu flan sababu wewe ulipata shida kwenye uwanda huo.

Bali mpe elimu nzuri yakujitambua na msaidie kutimiza ndoto zake, sababu zako wazazi wako walishindwa kuzitimiza sasa wewe msaidie atimize zake vinginevyo unajitengenezea BOMU(vijana wanaolalamika hamna ajira walisoma kwa kulazimishana au kuskia kozi hii n dili na Ile n ya kijinga).
 
Iliwahi kutokea hii miaka ya 2010s, nadhani ile ndege ilitoka Australia kwenda States, watu wakauliza huyo mtoto atakuwa na nationality gani?
 
Alitaka mtoto awe mmarekani imeshindikana .atapewa uraia pacha wa pruto na uraia wa mamake
 
Back
Top Bottom