Mhigomkami
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 1,199
- 855
mjomba, majibu wanayo wakurugezi wa shule huko Bagamoyo wilayani
Chama Tawala , kuwa na vikundi vya kigaidi, ambavyo ujila wake haujuliakani, nje ya matakwa ya katiba. wanafundihwa ukakamavu, kuwaumiza watu wanaowaona hawaungi mkono. Nikutojiamini kutona na mazambi yao mengi.Yawezakana hukupata bahati ya kusoma historia ya nchii hii, sasa historia inabaki kuwa historia tu hata kama haitakuvutia.
Wakati TANU ikianzishwa kulikuwa na vijana waliokuwa na majukumu ya kulinda chama na viongozi wake, kulinda mikutano ya TANU na kazi zingine ambazo vijana wangeweza kuzifanya kulingana na ujana wao kwa maslahi ya Chama. vijana hawa waliitwa TANU YOUTH BANTU na baadae TANU YOUTH LEAGUE (umoja wa vijana wa TANU)!
Baada ya kuanzishwa kwa CCM umoja huo uliendelea na kubadilika kuwa UVCCM(Umoja wa Vijana wa CCM) wenye sehemu ya chipukizi na green Guard, hawa green guard majukumu ni yao ni sawa na niliyokueleza hapo kwenye sehemu ya TANU YOUTH BANTU. swali jingine?
Hivi karibuni kumeibuka mdahalo juu NDIO NAUJUA LAKINI SIO KISHERIA.
Hivi karibuni kumeibuka mdahalo juu ya kauli ilyotolewa na Mh. Mbowe juu ya kuanzisha kikosi chao cha kujihami na kujilinda, na Tamko la polisi juu ya kauli ya mbowe ipo sawa ?? Je hawa jamaa wa MAGAMBA wameanzisha kikosi jeshi (KJ) hiki kwa sheria ipi, mafunzo wanapewa na nani? , je chadema wako sahihi au wamekosea?
chINJI ni picha ya kikosi cha jeshi la magamba.
hawa wote watakutana mtaani baada ya mafunzo...naona kwa mbali hawa vijana wanavyopambana
kama kenya na mungiki...
hapa serikali ipige marufuku vikundi vyote hivi vya ulinzi wa vyama...
Green Guards ..( ccm)
Blue Guards ..(cuf)
na sasa Red Bigade...ya ( cdm)
wale ambao wako kwny mageti?Na security guard je?
Kwann wasijue.mbna gréen guard na polisi wanafanya matokeo yanayo fanana.
Nimekuwa nikifatilia hiki kikundi kinachoitwa green guard kwa muda hivi malengo yake nn?mbona kama baadhi ya vitendo vyake kama kupiga wapinzani vinashabihiana na vilivyofanywa na kile kikundi maalufu kilichotekeleza mauaji ya kimbari kule rwanda?mwenye kujua shughuli zake kwa undani atupashe,usipoziba ufa utajenga ukuta
Ndugu wana JF, nimesikitishwa sana kusikia kuwa Chama Cha Mapinduzi kina jeshi.
Je hii ndio katiba ya nchi kuwa kila chama kiwe na jeshi lake? Mbona hapatatosha.
Ninasadiki kuwa Nyerere (RIP) aliona mbali kwa kuondoa kile kiitikio cha "zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa chama".
Nielewesheni jamani