Great Thinkers nisaidieni, Huyu dada vipi....? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Great Thinkers nisaidieni, Huyu dada vipi....?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Konakali, May 18, 2011.

 1. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Tunaishi jirani sana kiasi kwamba kila siku jioni lazima tuonane, ameolewa nami nafahamu hilo, hujiheshimu kwa kiwango chake, na mume wake huwa ni mtu asiyekuwepo mara nyingi za wiki (kama siku 4/5 lazima anakuwa hayupo kwa wiki).....! Lakini kila siku akiwepo mwanaume huyu, huyu dada anakuwa busy kiasi kwamba tunasalimiana kwa mbali tu, then huyooooo amepita.... Ila kama mzee hayupo, basi hujiachia na mara nyingine kama nimekaa sebuleni kwangu huja na kukaa nami, tena karibu; (mara nyingine hadi nashtukia mapaja yanagusana.....!, but not naked)....! Sasa wandugu nawauliza, hii body language ina ujumbe gani?
  Nawasilisha...
   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  hadithi,hadithi
  uliwazalo (jibu lako) ndio jibu letu.
   
 3. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #3
  May 18, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Hivi kweli huja??
   
 4. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Ndiyo....! Japo mara nyingi na sio mara zote....!
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  mATATIZO YANAKUPIGIA HODI bRODA!

  Angalia sana watu wa jinsi hiyo, huenda unapigiwa hesabu ya fumanizi!
  !
   
 6. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  What DO YOU HAVE IN MIND? She likes you! Are you ready for it? If I were you, I would run away fast, fast, very very very fast!!!! Mapenzi kikohozi, ukianza kula mzigo, then one day jamaa atawafuma live! Do you have an idea what he will do? Likely, he will harm you. Ask yourself, a wife of a friend and neighbour, does she worth of all those suffering on your side? Wanawake wako wengi!
   
 7. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #7
  May 18, 2011
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  mnhhh...jibu maswali yafuatayo then sie ndio tupate nafasi ya kukushauri
  1-yeye ameolewa na mmewe unamfahamu..je wewe umeoa?
  2-huja sebuleni kwako?..kufanya nn?...na kwanini huja wakati mmewe kasafiri?
  3- mke wa mtu ni sumu..unalijua hilo?
  4- mlishawazhi kutamkiana mambo yoyote ya mapenzi?
  5-anamfahamu mkeo au hata girlfriend wako?
  6- ushawahi kusikia mtu kaliwa kiboga na kupigwa picha za video na mnato kisha zikabandikwa mitaani?...ungependa uwe mmoja kati ya hao walowahi kuliwa kiboga kisa mke wa mtu?
  7- cha mtu mavi ukikiona kiteme..au umesahau nahau na misemo yetu ya kale?
  KAMA MAJIBU YOTE NI NDIYO...ACHA MARAMOJA KUMFIKIRIA KIMAPENZI MKE WA MWENZAKO...KAMA NI HAPANA ANZA KUMTONGOZA NA MMEWE AKISAFIRI NEXT WEEK MLE KIBOGA... NA KAMA MAJIBU NI SIJUI BASI MUENDELEE NA STORI ZA KAWAIDA NA AWE RAFIKI YAKO MPAKA MMEWE AJUE KUWA WEWE NA MKEWE NI MARAFIKI WEMA..ni maoni tuu
   
 8. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #8
  May 18, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,990
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  Acha tamaa mbaya,utaja kufa weye.
   
 9. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #9
  May 18, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Well noted.... and strongly appreciated....!

  Well noted anyway.... Thanks sir....!
   
 10. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #10
  May 18, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  Umesema anajiheshimu inakuwaje anakuja chumbani kwako nakukutaka kimpenzi mke wa mtu heshima hapo iko wapi.
  inaoneana unamtaka kaa mbali kijana achana na wake za watu
   
 11. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #11
  May 18, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Asante BW maana ndicho na mimi nlichokua najiuliza!!Anajiheshimu vipi kama anakuja kujiachia kwa mshkaji kihasara hasara!!!
   
 12. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #12
  May 18, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Kwani wewe una upungufu wa Nguvu Za Kiume? Mwanamke aliyeolewa anakuja mpaka sebuleni kwako halafu unamwacha hivi hivi? Huyo anahitaji msaada wa haraka, mpatie tafadhali, au kama vipi naomba unianganishe naye huyo m-dada...!
   
 13. I

  Ikunda JF-Expert Member

  #13
  May 18, 2011
  Joined: Jul 12, 2010
  Messages: 722
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  mke wa mtu sumu, acha kabisa
   
 14. I

  Ikunda JF-Expert Member

  #14
  May 18, 2011
  Joined: Jul 12, 2010
  Messages: 722
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ila na yeye awe tayari kwa lolote
   
 15. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #15
  May 18, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Wahaya wanasema 'mko muntu irungu' yaani 'mke wa mtu ni msitu mkubwa',tafakari.
   
 16. A

  Aine JF-Expert Member

  #16
  May 18, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mimi nadhani unamu-intertain!!! coz usingemu-intertain asingethubutu kuja hapo sebuleni kwako yeye mke wa mtu tena na mume wake akiwa hayupo? mhh! Mtu sahihi wa kumuomba ushauri ni mume wake, mwambie hivi huyu mkeo mbona anapenda kuja sebuleni kwangu wewe ukiwa haupo? alternatively, mwambie aache mara moja kama kweli hupendi!!!!!!!!
   
 17. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #17
  May 18, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Kusoma huwezi hata picha huoni?
   
 18. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #18
  May 18, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,278
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Umeona madhara yawakutao cheaters this year. Sasa kama wataka kuwa mmoja wao keep on. Kitendo cha wewe kukaa na mke wa mtu sebuleni kwako kinatosha mwenye mke kukutia panga whether unachakachua or not. Kama huko tayari kwa lolote endelea. Kama unajipenda hacha kabisa kumkaribisha ndani mwako.
   
 19. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #19
  May 18, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Hapo ni kwamba mshatongozana psychologically na mumeshakubaliana,,, ila kama kawa mwanamke anusubiri uchukue first step ya kumshika paja hilo then safari iendelee... Konakali pleease achana nae... muweke mbali for the benefits of you both.....
   
 20. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #20
  May 18, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,640
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Be careful man, hapo kuna harufu ya matatizo kwa mbali. Kama anajiheshimu mapaja yasingegusana, anapretend anaheshima, na wewe unajua hana hiyo heshima ila unajidanganya kumuona anaheshima.
  Angalia fumanizi, na moja ya sifa ya fumanizi ni kukuachia muhuri wa maisha.
   
Loading...