Great Thinkers nisaidieni, Huyu dada vipi....?

Be careful man, hapo kuna harufu ya matatizo kwa mbali. Kama anajiheshimu mapaja yasingegusana, anapretend anaheshima, na wewe unajua hana hiyo heshima ila unajidanganya kumuona anaheshima.
Angalia fumanizi, na moja ya sifa ya fumanizi ni kukuachia muhuri wa maisha.

Point Mkuu, Hawa wenzetu IBILISI WATU, ukishaonja!, hutajitoa na atayaonyesha hadharani mapenzi yenu, baadae ni Mshahara wa Dhambi.......!!!!. Twakukanya Bro. tusikie sisi wakuu, tushapitia haya majaribio, ndio alopitia ADAM!!!!
 
Back
Top Bottom