Gratius Mkoba maneno yake mmmmmmm!!!

Gratius Mkoba maneno yake mmmmmmm!!!

Joined
Jul 29, 2015
Posts
22
Reaction score
16
Tangu nilipo msikia Jana Rais wa chama cha wafanyakazi TUCTA na Mwenyekiti wa chama cha walimu nchini C.W.T.alipo sema "UKIKATA GOGO JUU YA MWINUKO BASI LIKIWA LINAPOLOMOKA KUELEKEA BONDENI BASI UTHITHUBUTU KULIZUIA"Nimebaki nikitafakari kama je CHAMA CHA MWANZO (CCM) wamelisikia na kulielewa!!!!?
 
wamelewa zanz walikunywa wakidhani ni maziwa ndo maana wote wame panic ukiona mtu kampiga mpaka baunsa wenu kakimbia ww unatakiwa ufanyeje?
 
Tangu nilipo msikia Jana Rais wa chama cha wafanyakazi TUCTA na Mwenyekiti wa chama cha walimu nchini C.W.T.alipo sema "UKIKATA GOGO JUU YA MWINUKO BASI LIKIWA LINAPOLOMOKA KUELEKEA BONDENI BASI UTHITHUBUTU KULIZUIA"Nimebaki nikitafakari kama je CHAMA CHA MWANZO (CCM) wamelisikia na kulielewa!!!!?

nikiona neno c.w.t napataga hasira saa i dnt no why?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom