Figisu hizi uchaguzi wa TLS na Lissu ni ushahidi CCM hupandikiza vibaraka katika vyama vya kiraia

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,726
32,818
Kinachotokea kwa Tundu Lissu katika hatua za kuelekea Urais wa TLS ndio haswaa kinatufungua macho namna serikali na chama tawala imekuwa ikiweka na kupachika "makada" na "vibaraka" wake katika nyadhifa mbalimbali za vyama vya kiraia,uongozi wa wanafunzi vyuoni,vyama vya wafanyakazi na taasisi mbalimbali ili kulinda maslahi yao.

Kwao "haramu" ni "halali" endapo tu ipo upande wao,na "halali" ni "haramu" pale tu inapokuwa si kwa upande wao.Mapandikizi haya ya CCM kwa viongozi katika vyama vingine vya kiraia na kitaaluma haijaanza jana wala juzi.Imekuwapo muda mrefu,ila mwaka huu TLS na Tundu Lissu pamoja na Lau Masha wametufungua macho.

Wengi tulishangaa sana,kwenye maadhimisho ya "Siku ya Sheria",Amiri Jeshi Mkuu,aliamua kusema hadharani kuwa endapo TLS watachagua watu ambao amesikia wanagombea,basi wasitegemee kupata uteuzi wa jaji au nafasi yoyote inayohusu mambo ya sheria miongoni mwa wanachama wa TLS.Ilikuwa ni kitisho kwa TLS na wadau wa sheria.Ikatupa picha kuwa kumbe kumbe teuzi huwa ni kama "hongo" kwa kukubali matakwa ya wenye dola.

Imakuwa ni miaka mingi CCM na serikali yake kupandikiza viongozi watakaoongoza kwa miongozo ya chama na serikali.Safari hii TLS imeonekana itakosa sifa hiyo.Katika kipindi ambacho muhimili wa mahakama unaingiliwa,majaji na mahakimu ambao kwa nafasi zao ni wanachama wa TLS wanahitaji mtu wa kuwasemea bila chembe ya unafiki.

Pale mkuu wa muhimili mwingine anapoomba kesi ziendeshwe harakaharaka ili serikali ipate bilioni kadhaa ili iboreshe maslahi ya majaji na mahakimu,inahitajika TLS ya kusema "HAPANA",Mahakama sio TRA ya kukusanya pesa bali kusimamia haki bila kupima kiwango cha mapato yataokanayo na kesi.

Tunakumbuka kwa mengi,pale wengi waliokataa kuwa vibaraka wa chama na serikali ktk uongozi wa taasisi walizokabidhiwa jinsi walivyoadhibiwa.

Tunakumbuka miaka ya 1990's,vijana wengi pale UDSM walifukuzwa sababu hawakutaka "kufunga ndoa" na chama na serikali ili kuwasaliti wenzao kwa maslahi ya serikali.Walirubuniwa na kuhaidiwa mengi,lakini walisimama imara.

Kina Matiko Matare,huyu alikuwa Rais wa UDSM miaka hiyo,licha ya kutishiwa kwa mengi,alishikilia msimamo wake wa kuwa mtetezi wa wenzake,mpaka alipotekwa na kupelekwa kusikojulikana na kukutanishwa na Jaji Warioba mafichoni,akilazimishwa kutumia Radio Tanzania kutuliza mgomo na kuwaweka wanafunzi kuwa watii kwa serikali.

Tunakikumbuka kizazi cha kina James Mbatia,Mosena Nyambabe,Fabian Lutalemwa,Kelvin Mmari,Rwekamwa Rweikiza ambao waliongoza harakati za kupinga sera za "Cost Sharing" miaka ya 90,hata pale waliporubuniwa na serikali walibaki na misimamo yao.Hata walipokataa kufungamana na serikali,walikiona cha moto na kupoteza nafasi za masomo.

Hata kizazi cha sasa cha kina Julius Mtatiro,hawa walipewa kesi nyingi na kulazwa ndani sbb ya kukataa kuwa mapandikizi katika serikali za wanafunzi.Odwar Odong raia wa Uganda na mwanafunzi wa mwanasheria,alipokataa kuwa upande wa serikali katika harakati za uongozi,alibambikiwa kadi ya UVCCM na kutuhumiwa kumiliki kadi ya chama wakati si mtanzania.Huyu aliondolewa na uhamiaji usiku usiku na Kenya Airways kurudishwa kwao Uganda.

Tulianza kujenga Taifa la kinafiki na kikuwadi kwa muda mrefu,usitegemee Taifa lenye maendeleo kama unaminya na kufinya fikra kinzani.Mazoea ya kusifiwa na kupigiwa makofi hupoteza muelekeo wa nchi.

Waliopita Udsm watakumbuka jinsi chaguzi za DARUSO zilivyoingiliwa na CCM na serikali ili kuweka vibaraka wao.Na wote waliopandikiawa mara baada ya masomo waliopolewa moja kwa moja na kupewa nafasi ndani ya chama au katika serikali.

Enzi za kina Halima Dendegu kupandikizwa kugombea umakamu wa Rais wa DARUSO,mpaka watu walipotishia kutoa siri zake za nani wanamfadhili na Bi Dendego akaamua kuengua jina lake dakika za mwisho.Leo Dendegu yupo huko Kusini anaendeleza harakati zake.

Kina Julius Kusaja(Kiongozi wa DARUSO) waliosaliti wenzao na kuungana na chama,baada ya kumaliza chuo wakapewa ajira moja kwa moja ya kitengo cha utawala.Kina Bush (Mtoto wa Mama Leah) hawa walipokubali kuwageuka wenzao,walipewa ahadi ya nafasi za kazi bodi ya mikopo,ili wasiendelee kudai haki za wenzao.Deo Daudi (Rais) huyu alipewa "u-warden" mara tu ya kumaliza baada ya kukamlisha kazi aliyotumwa na chama.

Huku kwenye vyama vya wafanyakazi,unawakuta kina Mgaya wa TUCTA,wanatulizwa kwa ahadi ya ubunge wa Muheza,wanatumika,wanapofika jimboni kuchukua ahadi za kazi waliyotumwa,wanatupiliwa mbali maana wanakuwa hawana umuhimu tena.

Kwa hiyo hata yale madai ya kina Gratian Mkoba kutoa sehemu ya michango ya walimu wa CWT kwenye kampeni za chama pendwa,ni muendelezo ule ule wa vyama hivi kuwekewa vibaraka wanaocheza mziki mmoja na watawala.Ndio maana wanatafuna na kukomba michango ma miradi ya walimu,huku wakilindwa na kukingiwa kifua.

Hii ndio ilikuwa janja ya chama dola kwa miaka mingi,janja ya kupandikiza mamluki.Wanachomeka viongozi ambao ni "mchicha mwiba",yaani wanang'ata na kung'atwa ili kuwapumbaza wanaong'atwa zaidi kuwa hawa nao ni wenzao wenye kuwaongoza kudai haki zao.

Safari hii ngoma imebuma.Uchaguzi wa TLS umetupa picha kamili.Kugombea agombee kada wa chama dola,akigombea wa chama mbadala inakuwa nongwa.

Hata kama Tundu Lissu akishindwa uchaguzi kwa njia ya makasha ya kura,atakuwa ameshinda katika kutoa elimu na uelewa wa kilichojificha katika uongozi wa vyama vya kiraia.

Kupitia Lissu tumejifunza,tumeielewa TLS,na kumbe tumejua majukumu na nafasi yake.Sio kila katika ushindani lazima utoke na kombe la ushindi,mashindano mwengine unaweza kubeba zawadi ya mshiriki mwenye nidhamu,mshiriki mwenye "fair play",mshiriki mwenye mvuto wa kimashindano nk.

Ingekuwa ni ruhusa,tungemuomba Lissu achukue form ya kugombea urais wa TFF mwaka huu,pengine na huko napo wangeamua kupeleka mswaada bungeni kubadilisha sheria ya TFF.
 
Bandiko murua kabisa, umetupa historia yenye mafunzo sisi tuliokuwa bado chekechea miaka hiyo, Barafu uko vizuri sana.

Umesahau kwamba kushiriki kwa lisu kwenye uchaguzi TLS ni moja wapo ya ushahidi wa namna ukawa wanavyopandikiza mamluki wao katika vyama vya ki raia

Soma vizuri mada.CCM mmeharibu vyama au taasisi zote zinazodai haki za wanachama wake kwa kuwaweka Makada wenu,na hakuwa shida hata pale Rais wa TLS Anayetoka ni kada wa CCM na bahati mbaya mnayempigia debe ni kada wa CCM, kwani akiwa kada ni sawa kabisa lakini akiwa Kiongozi anayejitambua anafanya vurugu zote.Safari hii kachongeni viazi,TLS wameamua kufanya kweli.
 
Huu uchaguzi umedhihirisha kuwa it is possible kuwa na vyama vya kitaaluma na taasisi imara ambazo haziweki maslahi ya serikali/CCM mbele, sema ni watu hawajaamua tu

Nataka huu uchaguzi wa TLS u spark a revolution katika different professional bodies kuwa enough is enough na hawataki tena kuwa govt puppets

Lasivyo hivyo vyama vikiendelea kupreserve the status quo, watabaki kuonewa mpaka basi
 
Kinachotokea kwa Tundu Lissu katika hatua za kuelekea Urais wa TLS ndio haswaa kinatufungua macho namna serikali na chama tawala imekuwa ikiweka na kupachika "makada" na "vibaraka" wake katika nyadhifa mbalimbali za vyama vya kiraia,uongozi wa wanafunzi vyuoni,vyama vya wafanyakazi na taasisi mbalimbali ili kulinda maslahi yao.

Kwao "haramu" ni "halali" endapo tu ipo upande wao,na "halali" ni "haramu" pale tu inapokuwa si kwa upande wao.Mapandikizi haya ya CCM kwa viongozi katika vyama vingine vya kiraia na kitaaluma haijaanza jana wala juzi.Imekuwapo muda mrefu,ila mwaka huu TLS na Tundu Lissu pamoja na Lau Masha wametufungua macho.

Wengi tulishangaa sana,kwenye maadhimisho ya "Siku ya Sheria",Amiri Jeshi Mkuu,aliamua kusema hadharani kuwa endapo TLS watachagua watu ambao amesikia wanagombea,basi wasitegemee kupata uteuzi wa jaji au nafasi yoyote inayohusu mambo ya sheria miongoni mwa wanachama wa TLS.Ilikuwa ni kitisho kwa TLS na wadau wa sheria.Ikatupa picha kuwa kumbe kumbe teuzi huwa ni kama "hongo" kwa kukubali matakwa ya wenye dola.

Imakuwa ni miaka mingi CCM na serikali yake kupandikiza viongozi watakaoongoza kwa miongozo ya chama na serikali.Safari hii TLS imeonekana itakosa sifa hiyo.Katika kipindi ambacho muhimili wa mahakama unaingiliwa,majaji na mahakimu ambao kwa nafasi zao ni wanachama wa TLS wanahitaji mtu wa kuwasemea bila chembe ya unafiki.

Pale mkuu wa muhimili mwingine anapoomba kesi ziendeshwe harakaharaka ili serikali ipate bilioni kadhaa ili iboreshe maslahi ya majaji na mahakimu,inahitajika TLS ya kusema "HAPANA",Mahakama sio TRA ya kukusanya pesa bali kusimamia haki bila kupima kiwango cha mapato yataokanayo na kesi.

Tunakumbuka kwa mengi,pale wengi waliokataa kuwa vibaraka wa chama na serikali ktk uongozi wa taasisi walizokabidhiwa jinsi walivyoadhibiwa.

Tunakumbuka miaka ya 1990's,vijana wengi pale UDSM walifukuzwa sababu hawakutaka "kufunga ndoa" na chama na serikali ili kuwasaliti wenzao kwa maslahi ya serikali.Walirubuniwa na kuhaidiwa mengi,lakini walisimama imara.

Kina Matiko Matare,huyu alikuwa Rais wa UDSM miaka hiyo,licha ya kutishiwa kwa mengi,alishikilia msimamo wake wa kuwa mtetezi wa wenzake,mpaka alipotekwa na kupelekwa kusikojulikana na kukutanishwa na Jaji Warioba mafichoni,akilazimishwa kutumia Radio Tanzania kutuliza mgomo na kuwaweka wanafunzi kuwa watii kwa serikali.

Tunakikumbuka kizazi cha kina James Mbatia,Mosena Nyambabe,Fabian Lutalemwa,Kelvin Mmari,Rwekamwa Rweikiza ambao waliongoza harakati za kupinga sera za "Cost Sharing" miaka ya 90,hata pale waliporubuniwa na serikali walibaki na misimamo yao.Hata walipokataa kufungamana na serikali,walikiona cha moto na kupoteza nafasi za masomo.

Hata kizazi cha sasa cha kina Julius Mtatiro,hawa walipewa kesi nyingi na kulazwa ndani sbb ya kukataa kuwa mapandikizi katika serikali za wanafunzi.Odwar Odong raia wa Uganda na mwanafunzi wa mwanasheria,alipokataa kuwa upande wa serikali katika harakati za uongozi,alibambikiwa kadi ya UVCCM na kutuhumiwa kumiliki kadi ya chama wakati si mtanzania.Huyu aliondolewa na uhamiaji usiku usiku na Kenya Airways kurudishwa kwao Uganda.

Tulianza kujenga Taifa la kinafiki na kikuwadi kwa muda mrefu,usitegemee Taifa lenye maendeleo kama unaminya na kufinya fikra kinzani.Mazoea ya kusifiwa na kupigiwa makofi hupoteza muelekeo wa nchi.

Waliopita Udsm watakumbuka jinsi chaguzi za DARUSO zilivyoingiliwa na CCM na serikali ili kuweka vibaraka wao.Na wote waliopandikiawa mara baada ya masomo waliopolewa moja kwa moja na kupewa nafasi ndani ya chama au katika serikali.

Enzi za kina Halima Dendegu kupandikizwa kugombea umakamu wa Rais wa DARUSO,mpaka watu walipotishia kutoa siri zake za nani wanamfadhili na Bi Dendego akaamua kuengua jina lake dakika za mwisho.Leo Dendegu yupo huko Kusini anaendeleza harakati zake.

Kina Julius Kusaja(Kiongozi wa DARUSO) waliosaliti wenzao na kuungana na chama,baada ya kumaliza chuo wakapewa ajira moja kwa moja ya kitengo cha utawala.Kina Bush (Mtoto wa Mama Leah) hawa walipokubali kuwageuka wenzao,walipewa ahadi ya nafasi za kazi bodi ya mikopo,ili wasiendelee kudai haki za wenzao.Deo Daudi (Rais) huyu alipewa "u-warden" mara tu ya kumaliza baada ya kukamlisha kazi aliyotumwa na chama.

Huku kwenye vyama vya wafanyakazi,unawakuta kina Mgaya wa TUCTA,wanatulizwa kwa ahadi ya ubunge wa Muheza,wanatumika,wanapofika jimboni kuchukua ahadi za kazi waliyotumwa,wanatupiliwa mbali maana wanakuwa hawana umuhimu tena.

Kwa hiyo hata yale madai ya kina Gratian Mkoba kutoa sehemu ya michango ya walimu wa CWT kwenye kampeni za chama pendwa,ni muendelezo ule ule wa vyama hivi kuwekewa vibaraka wanaocheza mziki mmoja na watawala.Ndio maana wanatafuna na kukomba michango ma miradi ya walimu,huku wakilindwa na kukingiwa kifua.

Hii ndio ilikuwa janja ya chama dola kwa miaka mingi,janja ya kupandikiza mamluki.Wanachomeka viongozi ambao ni "mchicha mwiba",yaani wanang'ata na kung'atwa ili kuwapumbaza wanaong'atwa zaidi kuwa hawa nao ni wenzao wenye kuwaongoza kudai haki zao.

Safari hii ngoma imebuma.Uchaguzi wa TLS umetupa picha kamili.Kugombea agombee kada wa chama dola,akigombea wa chama mbadala inakuwa nongwa.

Hata kama Tundu Lissu akishindwa uchaguzi kwa njia ya makasha ya kura,atakuwa ameshinda katika kutoa elimu na uelewa wa kilichojificha katika uongozi wa vyama vya kiraia.

Kupitia Lissu tumejifunza,tumeielewa TLS,na kumbe tumejua majukumu na nafasi yake.Sio kila katika ushindani lazima utoke na kombe la ushindi,mashindano mwengine unaweza kubeba zawadi ya mshiriki mwenye nidhamu,mshiriki mwenye "fair play",mshiriki mwenye mvuto wa kimashindano nk.

Ingekuwa ni ruhusa,tungemuomba Lissu achukue form ya kugombea urais wa TFF mwaka huu,pengine na huko napo wangeamua kupeleka mswaada bungeni kubadilisha sheria ya TFF.
Well said. Ni John Kusaja sio Julius. Jamaa alipata kazi USAB then akaenda Utawala
 
Aisee ccm ni nuksi, ona sasa hii histori itasomwa mpaka na vijana wa jana na watajua unafiki wa ccm
 
Nimecheka sana duuh!!Watu mna manenoo eti mchicha mwiba,unakula na kuliwa
Uswahilini kwetu hili neno hutumika tifauti sanaa... Barafu unatuvunja mbavu sana,ila upo vizuri sana kwa uchambuzi
 
Si siri kuwa CCM imekuwa inahakikisha viongozi wa taasis mbalimbali ni watu wao, tumeona kwa Jaji Ramadhan kuchukua form ya urais na Naibu Mwanasheria mkuu Tulia kuchaguliwa kuwa Naibu Spika. Hii yote si kitu kizuri, si demokrasia inayopiganiwa, ninachoshangaa ni Lissu na Masha na wao kugombea u Rais wa TLS, je wanatengeneza precedence gani ? Kesho wataweza kweli kulalamika pale watu aina ya kina Jaji Augustino Ramadhan wakichukua fomu.

Lissu ashinde au ashindwe, precedence ipo wazi sasa, vyama vyote vinapenda kuweka watu hao katika hizi taasis, upinzani hautakuwa na moral authority tena ya kulalamika pale viongozi wastaafu wa taasis kama za jeshi wakigombea nyadhifa mbalimbali. Kama ambavyo hawawezi kuropoka saivi kuhusu ufisadi sababu ya Lowasa na ndivyo hivyo hawataweza tena kulalamika kwa kuhusu uteuzi au kugombea kwa viongozi wa hizi taasis mbalimbali.
 
Tundu Lissu atashinda au kushindwa kwa sanduku la kura za wanasheria wa TLS na sio vinginevyo.
Hao kina Mwakyembe watajiju.
Tena Mwakyembe naye ni Wakili, kwa hali ilivyo hadi sasa akihudhuria huo mkutano atapewa makavu hadi akimbie.
 
Mkuu umeelezea vizuri!!Nimekuelewa
 
Tundu Lissu atashinda au kushindwa kwa sanduku la kura za wanasheria wa TLS na sio vinginevyo.
Hao kina Mwakyembe watajiju.
Tena Mwakyembe naye ni Wakili, kwa hali ilivyo hadi sasa akihudhuria huo mkutano atapewa makavu hadi akimbie.
Ngoja tusubiri mkuu...CCM wanajua sana figisufigisu
 
Ndiyo Maana unaambiwa ni weupe na wepesi km tissue. Wao pasipo msaada wa policcm hawawezi chochote
 
Back
Top Bottom