OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Wakuu khabari zenu, naomba kujua namna ya kujifunza graphics design ni njia gani nitumie ili niweze kujua?
Napenda kujifunza vitu vipya ivyo naomba muongozo wa namna ya kufahamu na kuelewa kabisa graphite na kuja kuwa mtaalam yani ni base na kufanya hizi mambo napenda kinoma wakuu.
Asanteni.
#CFC

Sent using Jamii Forums mobile app