Graphic designer and animations salary zao ziko vip kwa mtu wa degree

kizuba

Member
Sep 28, 2019
11
14
Nahitaji msaada wakubwa kujua kama kichwa cha habari hapo juuu mimi nikijan mwenzenu katika kulijenga taifa letu msaada kwa wanaojua
Katika nyaja za kiserikali na binafisi maoni kwenu wakuu
 
Binafsi mzee inategemea ufanyaji wa kazi yako iko bora kiasi gani, bache unaweza kuwa nayo lakini haupo vizuri katika hayo mambo.
 
Sawa lakin nilikua natak nijue salary zake kwa degreee ili nipambane niwe competetive katika soko la ajira
 
Wewe pambana mzee uwanja huo mpana unaweza hata kujiAJiri na ukapiga pesa. Usikirie pesa kwanza wewe fanya kwa bidii kazi yako ikiwa nzuri pesa itakuja fikiria kujiajilinpia coz itakulipa.
Sawa lakin nilikua natak nijue salary zake kwa degreee ili nipambane niwe competetive katika soko la ajira
 
Sawa lakin nilikua natak nijue salary zake kwa degreee ili nipambane niwe competetive katika soko la ajira

Kwa designer yeyote namna nzuri ya kufanya au kujitangaza au kujiuza ni kwa kuweka wazi kazi zako. Watu na makampuni yatakutafuta tu.

Wateja wako wakubwa ni:-
1. Watu binafsi wanaohitaji kazi za designing (brochures, IDs, Business cards, vitabu n.k)
2. Kampuni/Printing shops wanaohitaji graphics designers. Hawa wanaweza wakakuajiri au wakanunua tu kazi.

Na mwisho unaweza kufungua ofisi yako kwenye eneo la printing, wewe ukawa na computer yako, ukafanya designs na watu wakaprint kwa printers.
 
Nimependa hii idea ya kufungua ofisi, au unaweza fanyia hata home then printing ukatoa pengine
 
Ndiyo inawezekana.

Kukaa jirani pia na maeneo ambako kazi za printing zinafanyika kuna faida zake pia.
 
Back
Top Bottom