graphene wonder material, future technology

graphene wonder material, future technology

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Posts
32,211
Reaction score
44,174


[TD="width: 100%, bgcolor: #99CCFF, align: center"]

NI NINI GRAPHENE[/TD]




[TD="width: 100%, bgcolor: #FFEAFF, align: center"]
graphene ni material ya 2d yaliyotengenezwa kwa kutumia carbon, yana uimara mara 300 zaidi ya chuma, yanabend kama plastic ni magumu kuliko almasi na pia ni source nzuri ya kupitishia umeme kuliko shaba. Hilo halitoshi graphene yana wembamba wa atom 1. Kutokana tu na hayo maelezo unaweza ukaona jinsi gani haya material yalivyo ya ajabu
[/TD]

_65268862_graph.jpg



[TD="width: 100%, bgcolor: #99CC33,"]GRAPHENE NA PROCESSOR

[/TD]




[TD="width: 100%, bgcolor: #FFEAFF,"]mpaka sasa processor kali unakuta ni 5ghz clock speed. Lakini research zilizofanyika kutumia graphene ina uwezo ikatengeneze processor zenye clock speed kuanzia 500 hadi 1000ghz, hilo halitoshi lakini graphene pia processor zake zitatumia power ndogo kuliko za sasa (more speed less power).

[/TD]



[TD="width: 100%, bgcolor: #99CC33,"]GRAPHENE NA KUTU

[/TD]



[TD="width: 100%, bgcolor: #FFEAFF,"]mpaka sasa graphene imemaliza hela nyingi sana mpaka watu wakaanza kukata tamaa, lakini kikubwa kinachowapa watu hope ni kwamba haya material hayashiki kutu ina maana yakitumika kujengea viwanda, silaha, consumer products havitashika kutu na kwa hali hiyo vitakua vinadumu kwa mda mrefu sana

[/TD]



[TD="width: 100%, bgcolor: #99CC33,"]GRAPHENE NA SIMU
[/TD]



[TD="width: 100%, bgcolor: #FFEAFF,"]actualy hii ndo area ilonifanya niandike hii thread. Graphene ina uwezo wa kutumika kwenye simu kwenye area nyingi.

-kwenye cover za simu hii itazifanya simu ziwe nyembamba sana ambazo hazijapata tokea. Wembamba kama wa rula ya darasani.

-kwenye camera itaziwezesha sensor za camera zisipoteze mwanga na mwisho zitaweza toa picha zenye quality kubwa sana.

-kwenye battery graphene ina uwezo wa kuenhance batteries cells zidumu zaidi. Mpaka sasa research zinaonesha battery zake zinaweza kupower flagship phone kama s3 au iphone 5 kwa siku 5.

-display na vitu vyengine kwa sababu vinauwezo wa kubend tutaona bendable phone zilizotengenezwa na graphene imagine simu unaikunja kunja unaieka mfukoni.
[/TD]



[TD="width: 100%, bgcolor: #99CC33,"]hio ndo graphine na hii ndio future technology watz bado tupo tuuuuu

[/TD]

 
Nilishaisikia zamani kidogo ila sikuwahi kuifuatilia zaidi. Ngoja nisake makala zake niingie kwa undani zaidi. Asante kwa Kupost.
 
kama yakiweza kutumika kutengeneza processor zenye 500ghz au zaidi cpati picha itakuaje!!!!
 
mh!!! Tuombe hio inventing imalzike mapemaaaaa
 
sema bei yake ndo balaa sasa hv one piece kidogo tu ni dola 1000
 
Back
Top Bottom