jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,989
- 22,521
Tuonyeshe kwanza ushahidi wa hiyo u turn kabla hujatuambia tupige kura.U turn gani?Mimi kwa maoni yangu, JK aliharibu sana nchi hata ikafika mahali ikaonekana anaweza asimalize kipindi cha uongozi wake. U turn imetokea baada ya kuteua baraza jipya ambalo lina watu wazuri kupita mabaraza yake yote tangia achaguliwe. Kwa jinsi hii naomba tupige kura kwamba JK ame improve au la!