Grand Vellas - Mexico

Natarajia kufika na familiayangu katika sherehe za Edd-Alfitri baada ya mfungo wa Ramadhani.
 
Ni Mexico ya Mexico au ni Mexico ya Bongo?
 
Mekiko nikipasikia tu naona dawa za kulevya na wanavyouana naogopa hata kupagusa
 
sehemu hii nzuri kwa honeymoon..
 
Mekiko nikipasikia tu naona dawa za kulevya na wanavyouana naogopa hata kupagusa

Usikariri maisha mkuu.

Hata iraq kuna watu wanakula bata utadhani wapo Nevada, hizo story za vita wanazisikia kwenye tv tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…