Graduates wa Procurement and Supplies

stable

JF-Expert Member
Apr 21, 2012
303
434
Wadau naomba kusaidiwa hili,
Graduates wanao maliza degree ya procurement and supplies nao wanawekwa katika kundi la wahasibu?
Maana kuna mtu aliniuliza hili swali nikashindwa kumjibu baada ya kuona idadi ya wano maliza uhasibu kwa ujumla kuwa kubwa kwa mwaka ukilinganisha na wale wanao maliza Accounts only.Mimi nimemaliza Accounts.
Nawasilisha Kusaidiwa.
 
Shida ni kwamba ukisoma procurement unasoma na masomo ya uhasibu ila ukisoma uhasibu(Accounts) hausomi masomo ya procurement ndo maana mtu wa procurement anaweza akafanya mpaka accounts
 
Back
Top Bottom