Graduates ujumbe wenu huo!

Farolito

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
11,634
26,370
Tafakari
IMG_20200729_140307.jpg
 
Tatizo graduates tumefungiwa kwenye box kifikra, box moja dogo tu. Box la elimu tuliyopata shule.
Ndio shida ya elimu iliyoletwa na meli,zamani wanajamii walikuwa na majukumu kutokana na umri na ukifika umri fulani lazima mpatiwe mafunzo Fulani na watu maalum mfano kuwinda,ulinzi,kilimo hivyo hakuna kukosa kazi ya kufanya
 
Back
Top Bottom