Grading system ya mwaka huu sio haki

Grading system ya mwaka huu sio haki

ommky

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
459
Reaction score
225
D inaanzia 50-59, E 41-49, hiyo D ni B mwaka jana na hiyo E ni C mwaka jana halafu mtu amesoma kombi complicated PCB, PCM au PGM at the end of the day hamna chuo tena taarifa inakuja baada ya matokeo kutoka. Kheri basi ingekuja bado watu mashuleni wajipange kikamilifu. Huu ubabe chini mwamvuli wa CCM ni noma.

Hivi TCU walikaa chini na kujadiliana vizuri au ni mtu mmoja amekurupuka huko? This is not fair, wengne tumesoma shule za taaabuuuuu.
 
haaaaa mbm matokeo ya form 4 2013 yalivo toka kwa gpa hamkulalamika sasa mama ndalichako kashatega mtengoo na kawanasa
 
Ha ha ha a nimejikuta nacheka tu et shule za taabuu
 
suala la ongezeko la max pia lilitumika kwa waliomaliza o'level mwaka jana
mfano;
00-34=f
35-44=d
45-64=c
65-74=b
75-100=a
ndivyo viwango vilivyotumika so sishangai kwa ongezeko la advance
 
Yan unakuja na akili zako za instagram bila data unajikwatua tu,una uhakika na hcho usemacho,Bang bhana haya endeleen tu
Sasa si umweleweshe Tu kwa data kumporomoshea matusi Kunakutofautisha nini na yeye asiye na data ?
Jaribu kuwa beyond ya thinking capacity ya wengine kumtukana Tu hakujitoshelezi kuonyesha unajua zaidi yake you must think different but don't hurt others .
 
Wanafunz siku hiz hamjitumi kusoma uswahili na ujuaji mwingii safi San ndalichako heshima ya elimu itaanA kuonekan man wenginw wanashinda kungonoka tu alafu wanakwenda chuo hawan uwezo kumudu masomo wanatafuta kiki kwa lectures kuachia parachute
 
Back
Top Bottom