Grade za mikopo first year udsm hadharani. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Grade za mikopo first year udsm hadharani.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by KYALUMUKUNZA, Aug 22, 2012.

 1. K

  KYALUMUKUNZA Senior Member

  #1
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 146
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  :israel: Kwa wale wenye shauku kubwa ya kutaka kujua umepangiwa daraja la ngapi na bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa mwaka kwanza udsm yaani 2012/13 angalieni mwisho wa matokeo yenu ya o-level kulia mtaona alama A,B,C,D......
  ikimaanisha ni asilimia ya kiwango cha mkopo utakacholipiwa na bodi ya mikopo kazi kwenu kuperuziii.
   
 2. Sinewy

  Sinewy JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mi mbona kwangu con ki2 mkuu vp joining zimeshatoka?
   
 3. f

  fortunho Senior Member

  #3
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 131
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  unaangalia sehemu gan ndugu zangu maana wengine hatujui
   
Loading...