Grade za mikopo first year udsm hadharani.

KYALUMUKUNZA

Senior Member
Aug 19, 2012
145
28
:israel: Kwa wale wenye shauku kubwa ya kutaka kujua umepangiwa daraja la ngapi na bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa mwaka kwanza udsm yaani 2012/13 angalieni mwisho wa matokeo yenu ya o-level kulia mtaona alama A,B,C,D......
ikimaanisha ni asilimia ya kiwango cha mkopo utakacholipiwa na bodi ya mikopo kazi kwenu kuperuziii.
 
we jamaa unakopy na kupaste mpaka thread za wa2 we noma kweli,
 
:israel: Kwa wale wenye shauku kubwa ya kutaka kujua umepangiwa daraja la ngapi na bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa mwaka kwanza udsm yaani 2012/13 angalieni mwisho wa matokeo yenu ya o-level kulia mtaona alama A,B,C,D......
ikimaanisha ni asilimia ya kiwango cha mkopo utakacholipiwa na bodi ya mikopo kazi kwenu kuperuziii.

wewe lazima utakuwa umepangwa udsm maana nyie watu mna mbwembwe sana...kwanini hizo grades ziwe udsm tu..??
 
:israel: Kwa wale wenye shauku kubwa ya kutaka kujua umepangiwa daraja la ngapi na bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa mwaka kwanza udsm yaani 2012/13 angalieni mwisho wa matokeo yenu ya o-level kulia mtaona alama A,B,C,D......
ikimaanisha ni asilimia ya kiwango cha mkopo utakacholipiwa na bodi ya mikopo kazi kwenu kuperuziii.

Speculations! Anyway, matumaini jipe mwenyewe, raha jipe mwenyewe!
 
Mbona wenye masomo saba hakuna ki2

watu hawataki kuelewa ile siyo grade bali ni mwanzo wakuandika somo jingine. mfano angalia wote mnaosema mna grade B kama mna matokea ya basic mathematics
 
kuna somo gani linaloanziwa na herufi D,E,J,M,N,O,P,R,z.
 
Hata mimiinanishangaza sana, inamaana udsm 70% wamepata grade A na B? Tuacheni masihara jamani
 
huyo aliyeweka hii post ni kichaa, nadhani atakuwa form 2,, kile kpndi kle cha kurukaruka ovyo
kama huna cha kusema uache kupayuka
humu ndani kuna wa2 na akili zao!
 
Back
Top Bottom