Chadema Diaspora
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 480
- 644
huyo mr YES! NO! aliyekuwa anaishi ughaibuni ni kweli anayafahamu matatizo ya wana kalenga! JE AMEWAHI KUBEBA NDOO YA MAJI TOKA KISIMANI AKAPANDISHA KILIMA AKAONA MACHUNGU YAKE?
huyu mama hatakiwi kuwezeshwa, ANAWEZA
ushauri:
wapiga kura wanakalenga mpeni kura zenu Grace Tendega, ana sifa ya ujasiri wa kusimamia hoja, HATAWAANGUSHA.
Grace Tendega ni Power Monger. Yeye hamu yake ni kuwa mbunge tu na si kuwatumikia wana Kalenga
Akaendelee na biashara zake za ulanzi siasa hataziweza zinawenyewe amejaza mirasta kichwani akidhani ndiyo kivutio kumbe ni mzigo tu.huyu mama hatakiwi kuwezeshwa, ANAWEZA
ushauri:
wapiga kura wanakalenga mpeni kura zenu Grace Tendega, ana sifa ya ujasiri wa kusimamia hoja, HATAWAANGUSHA.
Vitasa vya bavicha matusi ndiyo jadi yenu unadhani yatawasaidia kitu?huna akili pusi ww
Kwani uzee ndiyo hoja asitafute huruma za kitoto hata kama angetoka karibu kichapo kiko pale pale atajuta anahama vyama kama slaa anyoosha maelezo tu.
Vitasa vya bavicha matusi ndiyo jadi yenu unadhani yatawasaidia kitu?
huna akili pusi ww
huna akili pusi ww
Akaendelee na biashara zake za ulanzi siasa hataziweza zinawenyewe amejaza mirasta kichwani akidhani ndiyo kivutio kumbe ni mzigo tu.
Grace tendega namuonea huruma sana. Angeshinda tatizo ni chama alichopo
namuonea huruma mama yako aliyekuzaa bora angezaa bata angepata mbolea