picha ya tatu ndo ilikuwa mzee kashahisi anachapiwa mbona kanuna?

Yaani mbongo anawaza negative.ni sheeedah
picha ya pili alikuwa halipi kivile
kwani uongo angalia hiyo picha hajacheka
picha ya tatu ndo ilikuwa mzee kashahisi anachapiwa mbona kanuna?
picha ya tatu ndo ilikuwa mzee kashahisi anachapiwa mbona kanuna?
Kaondoka kauacha utamu sijui itakuwa zamu ya nani sasa
Kwani wewe ukiwa huna furaha kwa mpenzi wako sababu ni moja tu kwamba unesalitiwa?kuna sababu nyingi