macho_mdiliko
JF-Expert Member
- Mar 10, 2008
- 21,846
- 39,722
Ina maana kuwa unaweza kununulia simu ambayo ipo mbali muda wa internet? Kwa mfano simu ipo Temeke na iko ON na wewe uko Kimara. Je unaweza kuongeza muda wa internet? Nauliza kwa sababu huwa situmii service ya pre-paid hivyo sio nguli wa haya mambo!Unaongeza kama uwekavo kwenye cm vocha