Amini hichi nilichowaambia ni gharama nafuu kuliko mtu akufungie, kwanza ufungaji wake ni rahisi tu, pia unachagua wewe ni GPS ya aina gani inafaa kwa mahitaji yako kwa kuna aina nyingi sana na bidhaa zetu nyingi za hapa wanaagiza vitu cheap, sisi tunaagiza mzigo kila wiki, sio GPS ni vitu vingine kabisa ila ni device zinazofanana na hizo vitu, gharama iko chini kama unaagiza mzigo mkubwa, mfano kama ungekuwa unaagiza kwa ajili ya biashara ingekulipa vizuri, mimi siwezi kukusaidia ila naamini wapo watu humu muda si mrefu watakuja na mawazo mazuri zaidi ya haya...mkuu ukifanikiwa agiza za pikipiki za kawaida utapiga hela.