Habari zenu wakuu,
Mimi ni mmiliki wa bajaj 4, nahitaji kujua kampuni ambayo inajihusisha na kutoa huduma ya kufunga GPS kwenye bajaj, nalazimika kufanya hivi kutokana na wizi uliokidhiri wa vyombo hivi.
Kwa wenye taarifa na bei za kampuni inayohusika na huduma hii anifahamishe tafadhali.