bona
JF-Expert Member
- Nov 6, 2009
- 3,798
- 1,444
Nimekua nikiitumia hii app ya android for almost 2 week sasa na naweza kuitolea verdict yangu... ni very useful app kwa wale professionals wanaotumia GPS devices kwa ajili ya kuestablish locations na kuchukua coordinates.
Inachukua coordinates za Longitude na Latitude kwa accuracy ya 8 decimal places wakati most GPS devices inachukua coordinates kwa accuracy ya 5 decimal places only... na iko very accurate... kuna watu wengi wanasumbuka kununua devices za GPS kwa zaidi ya dola 800 wakati mda huo huo ana simu ya androi....kwa ajili ya zoezi la kupata coordinates ya places.. this is our very own jesus christ ktk hilo, save your money.
na pia haichukui mda ku acquire satelite... pili inatumia ile russian version ya GPS inayoitwa Glonass very fast kwa sababu haiko over crowded kama GPS ya kimarekani!!!