Jindal Singh
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 1,857
- 1,542
- Thread starter
- #21
Ahsante chief sasa ngoja nianze kufuatilia.
inaitwa here maps.
nenda store ya simu yako search neno HERE MAPS halafu idownload, here maps si kama app nyengine katika kila magari 5 yenye ramani manne yanatumia hizi ramani.
![]()
ili upate experience nzuri
-eka view iwe 45 degree angle
-download ramani ya Tanzania ili baadae uweze tumia offline, na kama siku unapata safari ya nje ya nchi download nchi unayoenda
-eka turn by turn navigation ili iwe inakueleza kwa sauti kuepuka kila mara kuangalia ramani
-ipo hadi lugha ya kiswahili kwenye turn by turn navigation
kuhusu mounting nimecheki kaymu zipo as cheap as shilingi 15,000
car mount | Kaymu
inaitwa hivyo hivyo Tanzania, ingia kwenye menu yake halafu nenda download maps then chagua Africa halafu TanzaniaNimepata here maps naomba hio ramani ya Tanzania inaitwaje
inaitwa hivyo hivyo Tanzania, ingia kwenye menu yake halafu nenda download maps then chagua Africa halafu Tanzania
Thanks mkuu...na hio ya kuweka 45 angle nawekea wapi
we unataka ikwambie hapa manzese.kimara,tegeta. raman ya tz haitambuliki dunian
Hoya mzee mi nishashida na hiyo language setting mi ninayo toyota passo yaani full chinise nashindwa hata kusach chanell radio moja ndio yashika halafu mi mwenyewe ni fundi wire but sio kivile, iyo navigation nashida nayo kama kiroho mbaya yaani inabidi tupekue pekue ili tupate ufumbuzi ila nijuze juu ya kuchange lugha.
Hoya mzee mi nishashida na hiyo language setting mi ninayo toyota passo yaani full chinise nashindwa hata kusach chanell radio moja ndio yashika halafu mi mwenyewe ni fundi wire but sio kivile, iyo navigation nashida nayo kama kiroho mbaya yaani inabidi tupekue pekue ili tupate ufumbuzi ila nijuze juu ya kuchange lugha.
Mkuu Chief Mkwawa hizo dish za azam na continental zenyewe zinahusikaje kwenye Gps msaada wako tafadhali
Acheni upumbavu wene navigation hahitaji internet na wala haihusiani ingia kwenye menu ila kwa tz hakuna sistym hiyo huwezi itumia
Sijajua sababu ya huyu mmiliki wa paso.. uko Manzese unaendesha gari yako halafu kwenye device yako hapo kwenye dashboard inakuonesha uko Manzese. so what??? Sijajua maana ya hii kitu.