GPS navigation katika gari za bongo

GPS navigation katika gari za bongo

Chief here maps nimeipata ramani ya tz nishadwnload nimejaribu lakini display haisogei harafu kioo kinajizima hakikai on
 
Inakuaga na card leader yake hiyo mkuu kama unayo nenda kwa wataalam wa system za magar ya kadi watakuekea wapo lumumba
 
Back
Top Bottom