Gps kujiwasha yenyewe.

Gps kujiwasha yenyewe.

Mu7

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2013
Posts
1,655
Reaction score
2,003
Heshima zenu wakuu. Nakuja leo kuomba maelekezo kwenu mliobobea katika maswala ya teknolojia. Mie nina simu Tecno M7 ina mwezi 1 tu toka upya. Juzi imeanza kujiwasha GPS nikipiga Simu kwa line ya Airtel au nikiingia internet ya 3G kwa Airtel pia. Nikitumia voda halijitokezi. Hata nikiizima bado itajiwasha tu. Ni tatizo gani hili na nalisovu vipi? Nawasilisha.
 
una app ya wether( hali ya hewa) kwenye simu yako? sometime inakuwa ni widget pia. angalia kwenye homescreen hapo kama kuna app inadetect ulipo na kukwambia kuhusu hali ya hewa basi ni hio inayokuzingua. mfano inasema dodoma tanzania nyuzi 24 inaonesha na mawingu.

kusolve tatizo unatakiwa uitoe/disable hio app. kama ni widget iguse sana itatokea sehemu ya kuitoa na kama ni app uninstall.

ikikushinda kabisa badilisha launcher download nova launcher toka playstore
 
GPS haiwezi kujiwasha yenyewe unless umefungua app ambayo ina utabia wa kuonesha physical location kwa lengo la periodic location update...

Apps kama hizi huenda ikawa ni Facebook App, Maps, Weather App, Location locator App n.k
 
Mkuu, angalia usije ukawa unatafutwa na jamaa hivyo wanaiwasha wenyewe ili wajuwe upo sehemu gani, chukuwa tahadhari mkuu.
 
Heshima zenu wakuu. Nakuja leo kuomba maelekezo kwenu mliobobea katika maswala ya teknolojia. Mie nina simu Tecno M7 ina mwezi 1 tu toka upya. Juzi imeanza kujiwasha GPS nikipiga Simu kwa line ya Airtel au nikiingia internet ya 3G kwa Airtel pia. Nikitumia voda halijitokezi. Hata nikiizima bado itajiwasha tu. Ni tatizo gani hili na nalisovu vipi? Nawasilisha.

Hata mimi Tecno P5 yangu ilinizingua sana hiyo GPS.Nilijaribu ku-disable apps zote zinazohusika na gps lakini ikawa inajiwasha tu na kunimalizia chaji fasta.Mwisho niliamu ku-restore factory setting ndio tatizo likaishia hapo mpaka leo.
 
Nimefanya factory reset na haijaacha kujiwasha. 3G ya airtel ikiwa hewani tulazima ijiwashe.
 
Kama upo sahihi vile??

Duh! hizo ni assumption tu na utani ndani yake, usahihi ataupata akipeleka kwa fundi au kama wewe utampa ushauri utakaofanyakazi maana mpaka sasa bado tatizo halijawa solved
 
Nimeshajaribu kufanya factory reset lakini bado. Nimeinstal nova launcher bado sioni tofauti, au kuna setting sijafanya kwenye hiyo nova launcher? Nisaidieni jamani.
 
Nimeshajaribu kufanya factory reset lakini bado. Nimeinstal nova launcher bado sioni tofauti, au kuna setting sijafanya kwenye hiyo nova launcher? Nisaidieni jamani.

nakumbuka Prince Nadheem alikua na simu ya tecno yenye tatizo kama lako hebu mpm atakuelekeza zaidi alisolve vipi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom