FaizaFoxy na Jerrymsigwa.
1.Jerrymsigwa;
Gps ya simu huwezi fanyia topography. Ila inawezekana kwa kutumia software inaitwa GLOBAL MAPPER. Hii unahitaji atleast 3 known coordinates za eneo lako kisha tunaziload kwenye globalmapper na kupata topography map mzuri tu na accuracy katika actual terrain representation lakin interms of mathematical units ina errors ya 3m in X,Y coordinates and 25m in Z-coordinates. Kwa matumizi ya kawaida kama references na presentation inakubalika but for engineering uses is not acceptable. Topography inayokubalika kwa engineering ni either ifanywe na land surveyor kwa kutumia kifaa kinaitwa total station au DGPS (Differential Global Positioning System) au kuna satellite images zenye accuracy of up to 1m angalau kidogo unaweza tumia. Hii global mapper sio free software inauzwa usd 500 kwa sasa ila mimi yangu nilinunua usd350.
2.FaizaFoxy
You are almost true but in addition to your point ukihitaji hata 3cm accuracy is possible but it depends in several factors like service provider and GPS receivers. Mfano OmnSTAR inafanya vizuri sana sokoni service from south africa but you have to pay about Tsh.1.5mil/year. kuna kitu kinaitwa multpath hii huharibu sana accuracy kwa sababu inasabisha signals from satellite to be weak and the receiver geting a weak signals and finally you get poor accuracy. kuna kitu kinaitwa satellite almanarc ni mpangilio wa satellite kwenye orbit yake, kama almanarc ipo ovyo tarajia poor accuracy. Pia DGPS receivers kama vile NOVATEL, LEICA,CHC,TRIMBLE,NIKONI,SOKKIA etc zinafanya vizuri hivyo kupata accuracy 3cm-30cm pia hutegemea muda utakaokaa at single point while accumulating signals the long the time the best the accuracy. Satellite signal emitters or transmitters like GNSS, GLONAS,GALILEO etc itakupa utakacho lakini hutegemea na sababu tajwa hapo juu. Hizi GPS za simu ni kwa ajili ya reference sio engineering use jamani ni miaka kumi sasa nipo mgodini nafanya kazi na GPS almost kila siku na nina kabachelors ka hayo mambo ingawa siwezi kuandika sana nipo bize na kazi za watu nisije timuliwa nikakosa ugali wa watoto. mwenye shida private niPM. Samahani ki-English changu kinamatege lakini naamini waswanglish tunaelewana.
Kwa kuongezea ni kweli GPS ni mali ya jeshi la marekani kwa zamani lakini kwa sasa mataifa mengine wameamua kuanzisha satellite zao kwa ajili ya positioning services ndo tunapata hizo GNSS, GLONAS,GALILEO sio za marekani. walianzisha zao kwa sababu za kiusalama maana mmarekani alikuwa na nyodo na signals zake. Sasa wachina,india,brazil,urusi,germany australia pia wana zakwao.