GPS Katika Simu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

GPS Katika Simu

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Buswelu, Oct 17, 2009.

 1. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Hi Team

  Simu za kisasa zinakuja na GPS within ni feature nzuri sana katika matumizi hasa kujua uko upande gani,Pia zinakuna na Worldmate ambayo hutumia kwa wafanya biashara na wasafari hata kwa mtu wa kawaida...akitaka kujua muda wa miji mbali mbaili duniani.

  Swali langu la msingi liko kwenye setup ya GPS kwenye simu.Hili nimekuwa najaribu kulifanya kwa wiki sasa...kila nikijaribu kupata exactly location ya nilipo inanitupa kama 120m away from original location..ukichukua point hizo kuziweka katika software flan ina project ohh mbali sana.

  1.Nacho uliza vodacom wana settelite ambayo inakuwa connected na GPS za wateja wao?

  2.Ni iko acculate kiasi gani hiyo Settelite...kwani hata ukienda kwa costomer service wao naona kama huduma ya kuuliza maswali kuhusu hilo hamna.

  3.Je Kuna setting ambazo natakiwa kufanya labda kuweza kupata good results achilia mbali lazima uwe nje na weather iwe cool?

  Regards
  Buswelu
   
 2. Nkamu

  Nkamu JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 206
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Japokuwa sina simu yenye GPS, lakini ninaufahamu kidogo kuhusu GPS settings. Kwa kawaida GPS huwa inafanya kazi ya kuonesha mahali ulipo kwa kurefer kwenye datum fulani. Na kuna tofauti ya usahihi wa hizo datum kulingana na mahali inapotumika. Kwa ramani za Tanzania na Afrika ya Mashariki huwa inatumika Datum inayoitwa New 1960 Arc au WIGS 84. Ukitumia moja kati ya hizi kama base ya navigation yako, na endapo utabadilisha na kutumia nyingine kuna tofauti ya umbali wa kama 20 - 30m kwa Point hiyohiyo moja.

  Wengine wenye utaalamu zaidi kuhusu hili wanaweza kunisahihisha.
   
 3. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  GPS satelite zote ni mali ya serikali ya USA. Kwa hiyo voda hawahusiki kivyoyote kwenye satelite zenyewe. Labda ramani haiko accurate.
   
 4. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mzee umejibu very kavu kavu..mara unapo washa GPS yako inaanza kusearch connection ambayo inakwenda kwenye internet ambayo ni mtandao wa internet...supplied by vodacom au ulikuwa unataka kutujulisha umiliki?Unata kusema kuwa tanzania nzima watu hawatumii satelite?Au hakuna ma company yanatumia hizo setilite za marekani?

  Mkuu wa pili kujibu thanks..setting zote hizo nazifahamu naweza kuwa niko mbali kidogo kujua kufanya setting i will check nimeweka setting sawa sawa...

  Thanks
   
 5. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  GPS haihusiki kabis ana internet, kama simu yako ina GPS hakuna haja ya kukonect kwenye internet, GPS inakamata signal za satelite za GPS ambazo zinamilikiwa na Jeshi la Marekani, hakuna kampuni yoyote yenye satelite zake za GPS, labda satelite za mawasiliano mengine.

  Pia labda simu yako haina ramani, ambayo ndo inaenda kuichukua kwenye Internet (Google Maps maybe), hii ramani inaunganishwa na GPS coordinates unazopata kutoka kwenye satelite ili kukuonyesha uko wapi. Lakini kupata GPS coordinates hauhitaji Internet.
   
 6. k

  khalids19 Senior Member

  #6
  Oct 18, 2009
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mimi mbona nina nokia 5800 inayo GPS lakini hakuna Satellite signal kabisa mimi niko Dar es salaam! natumia tigo ,Kwani GPS inahitaji settings??unaeka settings gani ili ifanye kazi Tanzania??mimi nilijua GPS haifanyi kazi Tanzania!
   
 7. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Hehe sijui settings lakini GPS signal inapatikana Tanzania.
   
 8. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Nakumbuka mshikaji wangu mwenye blackberry kwenye mtandao wa zain anapata GPS vyema but with few meter erros..but its good kwani ikikupoteza 100m au 14m kutoka original location sio mbaya...kwa mtumiaji.Ila kama uko na nokia - Menu-GPS-GPS data i bonyeza hapo itakwambia searching for setellite...kisha itafanya calculating...then ikisha maliza inakwenda ndani kuna Navigation,Position, and trip distance hizi zinakusaidia nini wataka kufanya kwa wakati huo.

  Come back ukisha fika hapo.
   
 9. k

  khalids19 Senior Member

  #9
  Oct 18, 2009
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mbona nimejaribu Satellite indicator yenyewe inablink tu halafu imejaa only one bar ambayo inablink halafu haikamati GPS connection! sasa nini unachoona ni tatizo?
   
 10. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mkuu GPS ( Global Positioning System) inapatikana mahala popote duniani ( Cha msingi usiwe inclosed mfano ndani ya jengo) Hizi ni signal zinazokuwa Broadacsted na Satelite na ambazo zinaweza kuwa received na any GPS receiver ( Simu nyingi za kisasa zina Inbuilt GPS receiver)

  Kupata Coordinate za Mahali ulipo hauhitaji cha Ramani (map) wala mtandao wa Internet kwa sababu coordinate unaweza kuzisoma kama unavyosoma saa na dakika katika digital watch.

  Ila kama unataka kunavigate hapo ni ni lazima uwe na Ramani na kama simu yako haina ramani ni internet connection inatakiwa kwa ajili ya Google earth tu.

  Kila simu ina setting zake za GPS nakushauri soma mannual au weka aina ya simu yako usaidiwe
   
 11. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mkuu inabidi usiwe ndani kwa sababu GPS signals ziko weak sana
   
 12. k

  khalids19 Senior Member

  #12
  Oct 18, 2009
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  poa mi nimejaribu kukaa nje lakini bado tu its just blinking man! but ok me nitajaribu hivi>mimi sahivi nadownload Ovi maps 3.0 ya Nokia n78 and Ovi maps ya Africa(all continent)kisha nitajaribu kukaa nje kutafuta GPS signals!
   
 13. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Nina Nokia N95 na ina OVI navigation software ambayo huwa naitumia kupanga safari zangu kama ninakwenda mahali ambapo siijui njia lakini nina adress ya hapo mahali. Sina uhakika kama barabara za Tanzania zimekuwa digitised kumuwezesha mtu kutumia gps ya kwenye simu kama navigator. Hata hivyo kwa wale ambao wanaelewa jiografia, wenye hobby za hiking etc, inafaa kwa kukuonyesha coordinates na kukujulisha mahali ulipo.
   
 14. Richard

  Richard JF-Expert Member

  #14
  Oct 18, 2009
  Joined: Oct 23, 2006
  Messages: 8,253
  Likes Received: 4,275
  Trophy Points: 280
  Mkuu Buswelu,

  GPS lets you know exactly where you are the in the world down to around 10m, including altitude and even which direction you're pointing. Originally designed for the US military, the civilian version can now be found everywhere from your mobile phone.

  All GPS mobile phones have built-in GPS, turning your phone into a powerful SatNav for anything from route planning to finding your nearest point of interest.

  On your questions 1 and 2, I do not know about your subscriber (Vodacome) but on question number 3 you may have mobile phone with built in GPS or you will have to download one into your handset from any website.
   
 15. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #15
  Oct 18, 2009
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,275
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Mkuu hiyo datum ni Arc 1960 na ndiyo iliyotumiwa katika kutengeneza ramani za scale ya 1:50,000 (standard maps) ambazo ndiyo nyingi hapa Tanzania na zinatumika sana. Ni local datum (tanzania na east africa)
  Hiyo nyingine ni WGS 84 (World Geodetic System 1984) global datum na zinatofautiana kwa mita nyingi tu.
  tofauti ni kwamba hizi ni approximations ya projections kwenye plane au kwenye ellipse.

  kama unataka kupata position na unai compare na UTM(universal Transverse Mercator) coordinate system, standard maps na control points nyingi za hapa tanzania unapaswa kutumia arc1960 ambayo pia elevation yake ipo based on mean sea level pale bandarini DSM.
  kama una compare na some images au google earth maps hawa wanatumia WGS 84. Hata by default GPS inatumia WGS 84 ila position na elevation yake itatofautiana na existing situation
   
 16. M

  Manitoba JF-Expert Member

  #16
  Oct 18, 2009
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 240
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kama walivyosema wengine, GPS inatumia position za sattelite kadhaa mahususi ili kutambua location yako.

  Kuelewa inafanya vipi, soma kidogo hii article:
  [ame]http://en.wikipedia.org/wiki/Triangulation[/ame]

  Kwa njia hiyo, ukiweza kuniambia uko mita ngapi kutoka minara mitatu tofauti, na kama ninajua location za minara hiyo, then naweza ku-calculate position yako. Na ndio jinsi mobile phone tracking inavyofanya kazi ([ame]http://en.wikipedia.org/wiki/GSM_localization[/ame] ).

  Vivyo hivyo, GPS device yako inategemea kutambua location yako kwa kutumia location za satelite. Ili kuweza kupata location yako lazima ijue location ya satellite tatu au zaidi. Jinsi ambavyo device yako inapata signal za satellite nyingi, ndivyo jinsi accuracy inavyoongezeka.

  Kitu kingine kinachoathiri accuracy ni sensitivity ya receiver yako. Kama sensitivity ya receiver yako ni ndogo, accuracy inakuwa chini. Sensitivity tunamaanisha uwezo wa receiver yako ku-detect weaker satelite signals. Signal za satelite paka zifike duniani zinakuwa weak mno, ndio maana ukkingia ndani device nyingi zinashindwa kufanya kazi. Na zinakuwa weaker zaidi pale satelite husika zinavyokuwa mbali, na pale hali ya hewa inapokuwa si nzuri (mawingu, mvua, etc).
   
 17. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #17
  Oct 18, 2009
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,275
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Ndugu Buswelu, simu yenye GPS capability haihitaji mwongozo wa subscriber kwani GPS ni radio signal inayokuwa transmitted na special satellite zilizo angani hivyo simu yako inapaswa izipokee na kucompute position ya pale ulipo. (linganisha na utendaji wa hand held GPS)

  Accuracy ya GPS za kwenye simu na hand held GPS nadhani hazitofautiani sana itategemea na uwezo wa components ndani ya simu hasa CLOCKS (inaitwa atomic clock yenye accuracy ya 1 nanosecond)

  (One of the most significant error sources in GPS is the GPS receiver's clock. Because of the very large value of the speed of light, c, the estimated distances from the GPS receiver to the satellites, the [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Pseudorange"]pseudoranges[/ame], are very sensitive to errors in the GPS receiver clock. This suggests that an extremely accurate and expensive clock is required for the GPS receiver to work. On the other hand, manufacturers prefer to build inexpensive GPS receivers for mass markets.)
   
 18. k

  khalids19 Senior Member

  #18
  Oct 19, 2009
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mi nimejaribu kudownload map nzima ya Africa nimeinstall kwenye hii new Ovi maps 3 ya nokia n78 na nimejaribu kutoka nje bado inasema no satellite data!!!!!!!!WTF is Wrong with this?????Tanzania GPS haiexist!
   
 19. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #19
  Oct 19, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mkubwa Unaweza nisaidia ume download toka source gani...kwa kuwa level yangu nilikuwa nimefikia kutaka ku position kwanza...kumbe na ramani naweza down load..ni wapi mkuu.Ng'azala nashukuru san kwa maelezo ya kina kuhusu swala hili.
   
 20. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #20
  Oct 19, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mkuu nimeshusha Nokia map uploader na nikaweza update maps kwa Ovi 3.1 wakati nikuwa na 2.0 labda ndio nacheza nayo nione wapi ntaishia..ntaendelea kuwapa update mpaka niipate mwitongo iko wapi..
   
Loading...