Tetesi: GPA ya 3.5 diploma inajadiliwa ndio maana guide book haijatoka!

TheDealer

JF-Expert Member
Nov 19, 2012
2,424
1,129
Hizi ni tetesi, kama tetesi zinaweza kuaminika basi ziaminike.

Kwanza, TCU hawaja release mwongozo wa Equivalents kwa kuwa GPA ya 3.5 inagomba. Hii ni kwa sababu regulation ya GPA haipo standard countrywide.

Pili, kwa GPA hiyo vyuo vingi kama sio vyote vya private na vile vikubwa vya umma mfano UDOM vitakosa wanafunzi. Ukitaka kuelewa hili vizuri zaidi angalia namna UDOM wanavyodahili wanafunzi wa certificate na diploma kivyao nje ya mfumo wa NACTE!

Tatu, kwa bodi ya mikopo kuwapa kipaumbele wanafunzi wa sayansi ambao kimsingi ni wachache sana kulinganisha na sanaa maana yake ni kuwa vyuo vitapata 'wanafunzi crisis' naweza kusema hivyo, maana wengi hawataenda ma vyuoni hasa hasa wale ambao hawakupata mikopo na hata wengine ku drop katikati ya safari!

Ikumbukwe kwa sasa kuna vyuo vingi sana Tanzania vya private na hata vyuo vya umma vina uwezo mkubwa wa kuwachukua wanafunzi wengi sana! Mfano Degree ya Computer Science pekee NIT inachukua wanafunzi 400. Hio ni programme moja tu ya sayansi! Vipi programme zingine, na vyuo vingine? Hao wanafunzi wote wa sayansi wanapatikana wapi?!

So, vuteni pumzi! Ni hayo tu!
 
ila mkuu mim jana nimeongea na mtu wa nacte kuhusu hatma ya diploma walioomba vyuo kupitia nacte utaratibu wa kutoa section zao wamefikia wap nikajibiwa profile zetu zimehamishiwa TCU, nikamuuliza 'kwa selection zetu zitatoka pamoja watu wa form six akanijibu wapo kwrnye mazungumzo na TCU kuhusu hilo watakapo kuwa tayar tutajulishwa'. Pia nikamuuliza 'vip kuhusu hili swala la GPA ya 3.5 akanijibu shortcut akasema kama umetimiza vigezo vilivyowekwa na serikali subili selection na kam huna usipoteze muda wako'

Namwomba Mwenyezi Mungu asikie kilio hiki ili watu wa diploma tusije kuwa wapweke vyuon maana kwa GPA ya 3.5 tutakuwa wachache sana.
 
Hii nchi vp mbona institutions zinatoa maamuz utadhan ni ya kifalme vile.
 
Naomba kuuliza jaman wamesema kuna mtian wa kufanya ambao hatujafikisha na nimeona tangazo la tcu jan kuhusu watakaofanya mtian lakin sijalielewa una applaije hiyo fomu au huo mfumo wa kurudia mtian?kama kuna mtu ambae aneshaanza kuapply au amemaliza naomba anisaidie kunielekeza naomben msaada we kwan imebaki kesho tu.
 
ila mkuu mim jana nimeongea na mtu wa nacte kuhusu hatma ya diploma walioomba vyuo kupitia nacte utaratibu wa kutoa section zao wamefikia wap nikajibiwa profile zetu zimehamishiwa TCU, nikamuuliza 'kwa selection zetu zitatoka pamoja watu wa form six akanijibu wapo kwrnye mazungumzo na TCU kuhusu hilo watakapo kuwa tayar tutajulishwa'. Pia nikamuuliza 'vip kuhusu hili swala la GPA ya 3.5 akanijibu shortcut akasema kama umetimiza vigezo vilivyowekwa na serikali subili selection na kam huna usipoteze muda wako'

Namwomba Mwenyezi Mungu asikie kilio hiki ili watu wa diploma tusije kuwa wapweke vyuon maana kwa GPA ya 3.5 tutakuwa wachache sana.
Kwa maoni yangu nafikiri kwa hawa wa diploma wangewaacha tu mwenye GPA kuanzia 2.7 aende maana kwanza ni wachache na pia iangaliwe na experience ya kazi ya mtu.Haiwezekani mtu ana diploma ya civil engineering amekaa barabarani mika 7,ana uzoefu wa kutosha wewe unamzuia kujiendeleza!Au mwalimu ameshika chakini miaka 7 wewe unamwambia mwiko kujiendeleza. Huu utaratibu ni mbovu sana.
 
Mi mwenyewe naangalia examination centres za RPL pamoja na courses za kifanyia mtihani, nimeona 5 centres na kati ya hizo hakuna centres zinazotoa courses za medicine. Nasikia kucjanganyikiwa eti!
 
Nawaonea sana huruma wa diploma.kwa kweli hamjatendewa haki,mfano mimi nipo Bsc.TE na class tupo 97 ambapo waliotokea diploma wapo 8 tu,hiyo ilikuwa ni 2.7 GPA sasa huu mfumo wa 3.5 hauna lengo zuri na nyie.
 
Khaaaa....kumbe noma hv eeeh! TE ndio nn mkuu!
 
Back
Top Bottom