Hizi ni tetesi, kama tetesi zinaweza kuaminika basi ziaminike.
Kwanza, TCU hawaja release mwongozo wa Equivalents kwa kuwa GPA ya 3.5 inagomba. Hii ni kwa sababu regulation ya GPA haipo standard countrywide.
Pili, kwa GPA hiyo vyuo vingi kama sio vyote vya private na vile vikubwa vya umma mfano UDOM vitakosa wanafunzi. Ukitaka kuelewa hili vizuri zaidi angalia namna UDOM wanavyodahili wanafunzi wa certificate na diploma kivyao nje ya mfumo wa NACTE!
Tatu, kwa bodi ya mikopo kuwapa kipaumbele wanafunzi wa sayansi ambao kimsingi ni wachache sana kulinganisha na sanaa maana yake ni kuwa vyuo vitapata 'wanafunzi crisis' naweza kusema hivyo, maana wengi hawataenda ma vyuoni hasa hasa wale ambao hawakupata mikopo na hata wengine ku drop katikati ya safari!
Ikumbukwe kwa sasa kuna vyuo vingi sana Tanzania vya private na hata vyuo vya umma vina uwezo mkubwa wa kuwachukua wanafunzi wengi sana! Mfano Degree ya Computer Science pekee NIT inachukua wanafunzi 400. Hio ni programme moja tu ya sayansi! Vipi programme zingine, na vyuo vingine? Hao wanafunzi wote wa sayansi wanapatikana wapi?!
So, vuteni pumzi! Ni hayo tu!