Nakazia mkuu zingatia hili. Chini ya 3.0 bachelor utaisikia tu. Enzi nipo zangu diploma, head of department alikuwa na kawaida ya kuja kuja class, sasa ilikuwa kila akija lazima atuchane kwamba tusitegemee kama kutakuwa na adjustment yoyote we ukishindwa kupata 3.0 degree huendi! Af anamaliza na neno OVER!Chini ya GPA ya 3.0 huwezi kupata chuo level ya shahada ya Kwanza.
Utapata Diploma au Foundation programme.
Matokeo ya foundation naweza kuaply chuo gan?
Wakuu hiyo foundation ni kwa wale wasiofikisha gpa, sasa inavyokuwa ni kwamba ukipata matokeo yake unaweza kurudi kwenye chuo ulichosoma wanaweza kukufikiria then ukaapply hapo bachelor. Ila ninavyofahamu mm vyuo vingi huwa wanawakataa waliosoma foundation, wanawataka fresh from diplomaHuu msiba ni wa wengi asee , Hii foundation course inakuwaje Mwenye ulUwelewa na hili....
Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
Usijali mkuu hizo ndo harakati za mapambano. Keep your head up!Ni hatari aisee
Mkuu hvi hii GPA ya 3.0 kwa Diploma huwa wanaangalia average ya GPA kwa semester zote au VP..?HABARI NDUGU ZANGUNI.
Always Information is Power...........!!!!!
kama wewe ni mhitimu wa NTA level 6 ni lazima uwe na atleast3.0 GPA.
kwa form six lazima uwe na minimum total point 4.0, kwa course za kawaida na point 6 kwa course za Afya.
FOUNDATION COURSE
Mostly ni acceptable Open University of Tanzania (out).... na kwa nadra saana kuna vyuo hupokea under special condition kama UDOM
Iko ivi ndugu kwa mujibu wa UQF na NACTEMkuu hvi hii GPA ya 3.0 kwa Diploma huwa wanaangalia average ya GPA kwa semester zote au VP..?
Maana tuchukulie kwa mtu anaye-upgrade kozi yoyote huwa ni mwaka mmoja it means two semester only na ambae anatokea 6 kusoma diploma always is two years for four semester..
Sasa nataka nifahamu hapo wanatafuta Average ya GPA kwa semester zote au wanaangalia semester ya mwsho tu..?
Matokeo yanayotumika kupata Ordinary diploma GPA ni ya semester Mbili tu ya NTA Level 6Mkuu hvi hii GPA ya 3.0 kwa Diploma huwa wanaangalia average ya GPA kwa semester zote au VP..?
Maana tuchukulie kwa mtu anaye-upgrade kozi yoyote huwa ni mwaka mmoja it means two semester only na ambae anatokea 6 kusoma diploma always is two years for four semester..
Sasa nataka nifahamu hapo wanatafuta Average ya GPA kwa semester zote au wanaangalia semester ya mwsho tu..?
Hapa nimekupata kiongoziMatokeo yanayotumika kupata Ordinary diploma GPA ni ya semester Mbili tu ya NTA Level 6
Level 4 ni Basic technician certificateKumbuka
NTA LEVEL 4 ni Technician Basic Certificate.
NTA LEVEL 5 ni Basic Certificate.
NTA LEVEL 6 ni Ordinary Diploma
NTA LEVEL 7 ni Advance Diploma
NTA LEVEL 8 ni Bachelor Degree
NTA LEVEL 9 ni Masters Degree
NTAL LEVEL 10 ni PhD
2.7 unapata chuo kama kawa ila chini ya hapa ndio utataChini ya GPA ya 3.0 huwezi kupata chuo level ya shahada ya Kwanza.
Utapata Foundation programme.
NakaziaChuo gani hapa nchini utapelekwa kwa GPA ya 2.7 kama c kudanganya watu.Nenda guidebook ya TCU kwa equivalent diploma,utakuta minimum ni 3.0