Umeongea la maana Sana hata Mimi Nina diploma chini ya tatu ila kiukweli Mimi hata Kama ingekuwa iko juu ya tatu nilishasema diploma mwisho Sina mpango kbs wa kuchukua bachelor kwanza kusoma Sana nako ni uoga wa maisha wapi kibao na elimu zao za juu ila ndo hamna kitu wanacho Cha tofauti na sisi ushubwada mtupu elimu ya bongo Ni Zaid ya kamari