You are very wrong
Define what is Masters ?
Huku kwetu majuu kama ukiwa umesoma MD , then masters ukaenda kusoma MBA , wewe Huna masters Bali una added advantage !
Yani usome degree ya ICT , ukasome MBA , ume masters nini hapo
Ndio maaanq hata utumishi siku hizi hawakuiti bingwa kama masters yako ime deviate from your bachelor degree
Maana utumishi ili masters yako waitambue kama mbobezi na ulipwe tofauti na mtu wa bachelor ni lazima uwe umeendeleza field uliyosomea degree
Mbona huko bongo hata Serikali yenu ndio inataka hivyo
Haiwezekani ujiite masters wakati huna muendelezo. Hizo ni added advantage
Mtu aliesomea MARKETING au BCOM akipiga MBA , huyo ndio ame masters
Otherwise unakuwa unesoma kachumbari