Governor Benno Ndulu on the African Economy

Governor Benno Ndulu on the African Economy

Kila chama kinachokuja kinasema kitamkomboa mtanzania lakini wapi badala ya kahamasisha upinzani mnaendelea kugawanyika nadhani hamna nia ya kuiondoa Ccm ninyi mna nia ya ruzuku tu afadhali hata hiyo Ccm yenyewe
 
I have to say it was a disappointment listening to Benno Ndullu, yaani nimejikuta najishangaa nakuuliza mbona anajibu tofauti na anacho ulizwa nikidhani labda ndio kitaaluma na mimi ndio kilaza, mpaka niliposikia na yule host kweye swali la nyongeza akimrudhisha kwenye mada tena politely by posing an extra question requiring to explain inclusion and sustainable economy.

Kuna vitu sivielewi kabisa mbona katibu mkuu wa wizara ya fedha (yule mwenye accent ya kichaga jina silijui) anatosha sana ukimsikia, ni kina nani wanamshauri JK maana teuzi zingine duuh, kama sie ambao si vile tunaona hao wazungu sijui wanatuonaje in general.

Ebu Lipumba nae aachane na hizi siasa jamani wasaidiane kushauriana wachumi wetu maana nchi yenyewe maskini, na mmoja ya wataalamu ameamua kuwa idle tu that is very sad.
 
yeah......alichoni-bore zaidi ni kukwepa kujibu maswali ambayo yako so obvious kuhusu Africa in general and Tanzania in particular....kulikuwa na cases nyingi za kujibu baadhi ya maswali ambayo ni typical about Africa.....akawa anamuachia M-Chile ajibu.......
 
Yaani Gavana ametia aibu sana sana.Hayuko serious
 
Back
Top Bottom