Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 56
FM,
Najua Kifukwe sio mzungu (namfahamu yeye binafsi kwa karibu mno)ila hiyo ni kampuni ya Wazungu na ndio maana ilifanikiwa kufanya kazi kubwa kubwa miaka kumi bila hata kuguswa.
Ingelikuwa kampuni ya mswahili ungeona wasingemaliza hata mwezi.
Middle class ya Watanzania ndio wasaliti wakubwa wa nchi. Wanaweza kuja hapa JF kulaani viongozi mafisadi lakini kama ni mtu clean na umewahi kufanya biashara TZ, utajua ninasema nini. Hao hao walioko Brela, TRA, banks, ardhi nk. wanaihujumu TZ kwa njia chungu nzima. Kibaya zaidi wanakwamisha Watanzania wenzao, wakati wakija Wazungu wanalegea, shame on them!
Ndio maana watu kama akina Kifukwe kwa kutumia ukaribu wao na Wazungu wakaweza kupeta miaka yote hiyo bila kuguswa wala kulipwa kodi.
Pundit
irregardless ya huyo Mu-Australia..............kinachosikitisha zaidi ni hao watanzania wahandisi na supporting staff wanaofanya kazi hapo diligently.......sijui ajira yao itakuwa vipi,
.....maana kama jamaa ndio walikuwa major share holder......na mikataba ya kazi (waliyonayo) zinazoendelea waliingia wao.....sasa kama wame-cease siju utaratibu unakuwaje?......Fundi Mchundo/Mtanzania/Morani/Mwendapole hebu tupeni shule hapo
Stoltenberg confronts problems in Africa
Prime Minister Jens Stoltenberg was greeted by a cannon salute and waving Norwegian flags when he arrived in Tanzania on Monday, but plenty of problems lay lurking below the festive surface.
Tanzania is one of the lands that have receive most aid from Norway over the years, and the warm welcome to Stoltenberg and his wife, Ingrid Schulerud, was therefore not unexpected, writes newswire NTB.
Environment and Development minister Erik Solheim was also among the Norwegian visitors and it was announced that Norway has set aside NOK 500m (USD 100m) to be used over a five-year period in a partnership agreement with Tanzania for forests and the climate.
Deforestation in Tanzania is among the largest in Africa measured in terms of area, only surpassed by Sudan and Zambia. Emissions from deforestation are thought to be around 100 million tons per year, about double the total emissions from Norway, according to the Norwegian Foreign Ministry.
The run-up to the Tanzania visit has been far from problem-free, however, with a lot of media focus on corruption in foreign aid and very questionable Norwegian investments in mines in Africa.
A Norwegian accounting firm recently claimed that around NOK 150m (USD 30m) in foreign aid earmarked for tree-planting projects in Tanzania had probably ended up in the pockets of corrupt officials and politicians.
The matter is still under investigation, but the development minister has admitted that Norway has been naïve at times.
In addition, Kirkens Nødhjelp (KN) (Norwegian Church Aid) has claimed the Norwegian Oil Fund has invested over NOK 2bn (USD 400m) in three gold-mining companies that are stripping Tanzania's local people of their land and natural resources.
Before he travelled to Tanzania, Stoltenberg held a speech on Sunday, at the SADC Summit in Mauritius, in which he criticized the situation in Zimbabwe following recent elections there.
NTB/Aftenposten English Web Desk
Catherine Stein
Angalieni gazeti lao Norwegian wakati waziri mkuu wao alipokuja TZ
Lakini kumbe ndio wao wanazichukua hizo fedha back halafu waja kutudai na interest kubwa....HYPOCRITES
Kina Kifukwe waliwekwa tu pale kama frontman na nadhani jamaa hata qualifation za management hana... si huyu jamaa alikuwaga utalii college NBI?
Hapo ndipo mtu unajiuliza kweli tutafika? nimeona vijana wengi ambao wana damu za kizalendo waliosoma nje na ndani na wanapotaka kufanya kitu kuendeleza maisha yao na yetu jinsi wanavyo kwamisha na urasimu uliojaa pale BRELA,,TRA..PORT mpaka wanaishiwa na inabaki nao waaanze kukata kona na kufuata nyayo zao hao mafisadi
POLE SANA TANZANIA.....LAKINI USIJALI IKO SIKU NA SIO MBALI SANA....(i hope)
Just to set the record straight, Kifukwe anatakiwa kuwa Engineer aliyesoma India na Norway.
Haya ndiyo niliyoyandika jana, tunakimbilia kusema kampuni za Watanzania zina wababaishaji, kumbe wanashindana na majambazi ya kimataifa.
Kampuni ya Mswahili itachunguzwa na papers kufunguliwa mara 20, anakuja mzungu, ni pita tu bwana mkubwa.
Hao hao BRELA au TRA ndio tukipita wengine na kufuata kila sheria wanatuona
kama takataka, hii nchi yetu imejaa Wajinga na Wapumbavu wengi sana serikali, itakuwa ngumu mno kuendelea.
Nina mengi sana ya kuandika kuhusu ujinga na ubwege wa Watanzania inapokuja kwenye masuala yanayohusu Watanzania wenzao na wageni. Nitasubiri mpaka nije niweke kwenye kitabu kwi kwi kwi!!!
Hivi jamani kuna yoyote ajuae kama sheria za utoaji tenda iwe serikalini au katika makampuni na mashirika ya umma inasemaje?
Kukiwa na Legislation katika sekta kama haya ya ujenzi nafikiri watanzania watanufaika zaidi.
Kipaumbele kiwe kwa waTZ kwanza halafu ndio wanaangaliwa ma-expert ambao watakuwa wanakuja kwa muda maalum.
Kuna argument kuwa Norconsult AS na Norwegian Embassy walikuwa hawajui kitu, hii isue ilikuwa ya Kifukwe na ma-goons wake pale Norconsult.
Why did Norconsult AS left in a hurry ......
1. Assumption moja ni kuwa wamevunja cardinal rule ya serikali yao (Sheria kwao ni msumeno na wanafahamu what will be next) hivyo faini yao itakuwa kubwa na huenda wakapoteza billions sio Tanzania bali kokote wanakofanya kazi ulimwenguni.
2. Ili kutokuipaka matope serikali yao wameona bora wakimbie, Je ubalozi wa Norway wanasemaje pale Dar? Je, walikuwa hawalijui hili?
3. Wasingeweza kujikosha kwa maajabu yao na ni lazima Norwegian Embassy know what is cooking (I presume)
4. Je serikali ya JK itachukua hatua gani kwa kampuni hii (Norconsult AS ambayo kutokana na vitendo vyake inakubali kuvunja sheria) na zile ambazo hazikusajiliwa kihalali?
Je, Kampuni zingine kama Konoike, Cowiconsult, H. P. Gauff GmbH, Carbro na nyinginezo hawana matatizo kama yaliyowakumba Norconsult?