Government summons Mawio publishers

Government summons Mawio publishers

mawenge

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2012
Posts
286
Reaction score
71
The Director of Information, Mr Assah Mwambene, said in Dar es Salaam on Friday that on Thursday, the tabloid carried a story which was maliciously designed to incite the people against the government
and the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM).

In its June 6-12, issue number 0046, the tabloid carried a story on its front page with a headline reading:
“Madhehebu ya Kikristo Kuitenga Serikali — meaning Christian denominations to abandon the government.”

The newspaper added that effective next month, all Christian clerics including bishops and pastors would be delivering special messagesagainst the government and CCM.

“We are doing this because CCM has mishandled the country and enabled Chadema to take charge,” according to the article without attributing the claims to any sources.

The tabloid also carried photographs of the Catholic Archbishop of Dar es Salaam, Polycarp Cardinal Pengo and Bishop Alex Malasusa of the Evangelical Lutheran Church of Tanzania (ELCT). “Articles of this kind are very bad and dangerous.

We are going to take punitive measures against the publishers. We have summoned the publishers to report at Maelezo (Information Services Department) on Monday.

We have also directed them to apologise immediately,” Mr Mwambene said.

Source: Tanzania Daily News
 
Assah Mwambene ameanza kuwa unprofessional katika utendaji.

Sijui analifuatilia MAWIO kwa sababu ya hisia za mmiliki wake ama nini. Maana alisema alikatazwa kufanya kazi na watu fulani tena kwa kushauriwa kiudaku udaku tu na watu wenye ajenda zao za siri hadi wakaja kulifungia Mwanahalisi. Leo wanatafuta sababu ya kulifungia Mawio.

Je habari iliyoandikwa ni ya uongo? Ni lini wasomi wa nchi hii watatumia taaluma zao?
 
ha ben, kwa hiyo unataka kutuambia kuwa chadema ni chama cha wakristo? kama ni hivyo basi mawio halina hatia. pia kwa maelezo yako ni kwamba chadema ni chama cha kikristo hivyo kimepoteza uhalali wa kuwa chama cha siasa
 
halafu ben kumbuka ile thread ya juzi iliyohusu makala hiyo. machadema wote mlililaani gazeti hilo ila kutokana na serikali kulionya mnaanza kulikingia kifua. mtu gani wewe ben? mbona unakuwa ndumilakuwili wewe? huna haibu na unachokiandika? unataka kuwaaminisha nini watanzania? au ndo msimamo wa chama chenu?
 
Afungie magazeti yote aache UHURU na DAILY NEWS,
Aone kama ataburuza watu kama ZAMA zile za TANU YA JENGA NCHI,
 
ha ben, kwa hiyo unataka kutuambia kuwa chadema ni chama cha wakristo? kama ni hivyo basi mawio halina hatia. pia kwa maelezo yako ni kwamba chadema ni chama cha kikristo hivyo kimepoteza uhalali wa kuwa chama cha siasa

Uamuzi unaofanywa na makundi yoyote yale (ambayo ni halali) kujiunga na Chadema hautakataliwa
 
ukweli hamtaki mnataka uongo tu ndio watu wajue kumbukeni huu ni zama zenu ila kuna kipindi mtakumbuka yote haya mnayoyatenda kwa watu wasiokuwa na makosa.
 
halafu ben kumbuka ile thread ya juzi iliyohusu makala hiyo. machadema wote mlililaani gazeti hilo ila kutokana na serikali kulionya mnaanza kulikingia kifua. mtu gani wewe ben? mbona unakuwa ndumilakuwili wewe? huna haibu na unachokiandika? unataka kuwaaminisha nini watanzania? au ndo msimamo wa chama chenu?

1: Haya ni maoni yangu binafsi

2: Jifunze kuandika kiswahili.
 
Katika free society huwezi kufungia gazeti. Kama gazeti limeandika usiyoyataka, nenda mahakamani.

Katika free society waandishi hawatobolewi macho, kuteswa au kumwagiwa tindikali.

Simple as that.
 
Dah! Wakilisurubu na hili sijui wapi taarifa yakinifu tutapata! Mawio juu!
 
ha ben, kwa hiyo unataka kutuambia kuwa chadema ni chama cha wakristo? kama ni hivyo basi mawio halina hatia. pia kwa maelezo yako ni kwamba chadema ni chama cha kikristo hivyo kimepoteza uhalali wa kuwa chama cha siasa
Mkuu, mbona katika hii habari ya serikali kuizuia Mawio hakuna mahali ambapo CHADEMA imetajwa? Kwani kuitenga CCM na serikali yake automatically ni kujiunga na CHADEMA? Mbona kuna vyama vingine vingi, na pia kuna kujitoa katika siasa bila kuwa na chama? Hebu panua mawazo yako basi
 
Kanuni zinasema kuwa Kaka mtu ametokea kutuhumu ataitwa asibitishe kauli yake au taarifa yake Mwambene fuata utaratibu kama ulivyoanza kusema ila usitumie mamlaka yako kukimbilia kufungia gazeti Juan kufanya hvyo ni kubana haki ya watanzania kupata habari kama ambavyo katiba inasema katika ibara ya 19
 
Je habari iliyoandikwa ni ya uongo? Ni lini wasomi wa nchi hii watatumia taaluma zao?
Wataumwa na roho sana, kwani siku hizi vijijini hata wazee waantoa hela wapewe copy ya documents zilizoprintiwa toka JF.

Kuna uwezekana pakawa na online media zinazoichukia CCM kabla ya uchaguzi na hazitokuwa na mipaka ya kutoa habari. CCM must die for Tanzania to get out of the ICU
 
Wamelifanya maarufu at least mauzo ya wiki hizi mbili....yatahit records...Watu wengi hawajui km ni mbadala ya mwanahalisi.
 
ha ben, kwa hiyo unataka kutuambia kuwa chadema ni chama cha wakristo? kama ni hivyo basi mawio halina hatia. pia kwa maelezo yako ni kwamba chadema ni chama cha kikristo hivyo kimepoteza uhalali wa kuwa chama cha siasa

Mawio imeripoti tu...kwamba chadema ni chama cha wakristo au cha waislam hiyo sio kazi ya Mawio na unaweza kuifungulia thread yake tukajadili. Mawio inahusikaje na Uislam wa Chadema au Ukristo wa Chadema? Yeye karipoti tu...
 
Umeielewa hiyo post ya kwanza? Gazeti limesema 'we are doing this because the government has allowed chadema yo yake charge'

Inaweza kumaanisha kuwa serikali inatengwa kwa sababu haitaki kuchukua nafasi yake na imeiachia chadema.
ha ben, kwa hiyo unataka kutuambia kuwa chadema ni chama cha wakristo? kama ni hivyo basi mawio halina hatia. pia kwa maelezo yako ni kwamba chadema ni chama cha kikristo hivyo kimepoteza uhalali wa kuwa chama cha siasa
 
halafu ben kumbuka ile thread ya juzi iliyohusu makala hiyo. machadema wote mlililaani gazeti hilo ila kutokana na serikali kulionya mnaanza kulikingia kifua. mtu gani wewe ben? mbona unakuwa ndumilakuwili wewe? huna haibu na unachokiandika? unataka kuwaaminisha nini watanzania? au ndo msimamo wa chama chenu?

Lizaboni sijui upeo wako wa uelewa wa mambo lakini kwa hili povu nahisi wewe ni wale wa Kawambwa waliofanyiwa mazingaombwe ya Matokeo.
Mawio imeripoti kilichojiri kwenye kikao cha viongozi wakikristo. Tangu habari ile itoke Alhamis umesikia Malasusa au Pengo au kiongozi yeyote wa huo umoja wa wakristo akikanusha? Silent means what?? Sada why blaming the reporter?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom